Nampenda sana huyu

Tunampenda sana Rais wetu mkuu

Wachache wasiompenda Ni wale mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wale wenye vyeti feki

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Magufuli
propaganda za kichina bashite mpelekee mama yako karomije Magufuli taifa zima hatumpendi anaendesha mauaji manyanyaso na zaidi atupa nchi yetu kwa mabeberu anagalia anavyowamilikisha ardhi wchina machimbo ya dhahabu Barrick kwa share ya asilimia 16% utampendaje mtu anahamishia rasimali zote za taifa chato labda uwe mwenda wazimu
 
Kiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Sasa umatueleza tukusaidie je? Ni tangu lini uliona ibilisi anakaa meza moja na taifa la mungu. Sifa za ibilisi zinajulikana.

Kumbuka hili taifa la mungu amelifundisha ukatili wa ajakabu. Mbona watangulizi wake wamefanyakazi zao vizuri. Inawezekana na wewe umevaa hiyo hiyo ya boss wako.
 
Tunampenda sana Rais wetu mkuu

Wachache wasiompenda Ni wale mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wale wenye vyeti feki

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Magufuli

Kuna siku yatakukuta makubwa kuliko ya wenzako. Kwani uliowataja hawastahili kuishi kama wewe?
Hivi Tanzania ilishawahi kutawaliwa na chama chochote zaidi ya ccm? Hao mafisadi, wauza madawa na vyeti feki walitoka wapi kama sio ccm.
 
Tunampenda sana Rais wetu mkuu

Wachache wasiompenda Ni wale mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wale wenye vyeti feki

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Magufuli
Acha ukasuku wa kuimba wimbo asioutunga! Hao mafisadi na wauza ngada walishushwa au walitengenezwa na kufadhiliwa na ccm ili wapate pesa za kununua kura!
Kama Jambo hulijui kwa kina Bora upishe bila kucomment kwani utadhalilika Kama hivi!
 
Kiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Kwa sababu ya ujinga wako,yaani Magufuli aaombe kazi mwenyewe tena kwa kupiga pushups hadharani,then waajiri wake wanapomsema kwa kushindwa kwake kutekeleza majukumu aliyoomba mwenyewe kisha wewe ndo unapata hasira,kama wewe si zuzu na mjinga utakuwa nani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom