Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
Yaani huwa nikiona post sake moyo hunilipuka kwa shauku.
Nikiona replies zake ndo usiseme,yaani mwili wanisisimuka kwa furaha.
Hata akipost pumba huwa ntaenjoy,nampenda sana tena sana💓💓💓💓.
Kwa jina anajiita Money Penny,I love her so much💞.
NB:NAMPENDA SANA KAMA SISTER ANGU!!!

.