LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 679
Money Penny unaitwa haha.
wapi?Money Penny unaitwa haha.
JAMAANI NAKUPENDA PIA MY LOVEYaani huwa nikiona post sake moyo hunilipuka kwa shauku.
Nikiona replies zake ndo usiseme,yaani mwili wanisisimuka kwa furaha.
Hata akipost pumba huwa ntaenjoy,nampenda sana tena sana💓💓💓💓.
Kwa jina anajiita Money Penny,I love her so much💞.
NB:NAMPENDA SANA KAMA SISTER ANGU!!!
Soma Maelezo ya mleta Mada hapo juuwapi?
kumbe tiba zangu kiboko
Si ndio uende pm akakupe kibumbu?
Mtupe breki kidogo maisha magumu huku Bado na nyie tuwafuatilie?
nimeona asante sanaSoma Maelezo ya mleta Mada hapo juu
THANK U😂😂😂😂mzee kuna aina nyingi za upendo
Alexander The Great Smart911 mahondaw
Honey njoo nimependwa huku 50thebe
Kyalow sumbai Jokajeusi Demiss Mama Sabrina
kwan we bibiako humpendi?Ipo siku tutakuja kupenda Bibi zetu humu...
mambo ni firee HoneyMambo mazuri Honey!
wapi nimesema simpendi??..kwan we bibiako humpendi?
sa wenzio wakipenda Mabibi wewe mbona unachukia?wapi nimesema simpendi??..