milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 633
We mwenyewe mbumbumbu unataka genius we kulupuka tu mjini apaNi manengelo
Anaonekana genius sana na mchakarikaji. Ana akili ya kutafuta pesa. Ni mtu mjanja sana.
Sasa huyu dada/mama namkubali sana.
Kama hajaolewa, aisee nitafanya kila liwezekanalo nimuoe. Ila kama ameolewa basi mume wake anafaidi sana. Kuwa na mke kama huyu ni raha sana hata kama hana chura.
Ombi langu kwake, naomba awe rafiki yangu tuwe tunachati na ikiwezekana baadae tufike mbali zaidi. Nimekuja hapa sababu nilimfata PM akaniambia you may not start conversation with the following recipient manengelo
Namwomba anitazame kwa jicho la husuda.
Niko timamu na akili zangu ila kusema ukweli huyu dada namzimia
Mwambie unapatikana wapi mkuu?Tumia uchawi wa ndulele utampata!
Msimtisheni, mtoto kalilia wembe, muacheni ukimkata atalia tu.Una uhakika gani jinsia yake ni ke?
Wewe unatumiaga?Tumia uchawi wa ndulele utampata!
We chalii umekurupuka huko kudandia lugha adhimu. Kukuangalia kwa jicho la husuda una maana gani ? NyambafNi manengelo
Anaonekana genius sana na mchakarikaji. Ana akili ya kutafuta pesa. Ni mtu mjanja sana.
Sasa huyu dada/mama namkubali sana.
Kama hajaolewa, aisee nitafanya kila liwezekanalo nimuoe. Ila kama ameolewa basi mume wake anafaidi sana. Kuwa na mke kama huyu ni raha sana hata kama hana chura.
Ombi langu kwake, naomba awe rafiki yangu tuwe tunachati na ikiwezekana baadae tufike mbali zaidi. Nimekuja hapa sababu nilimfata PM akaniambia you may not start conversation with the following recipient manengelo
Namwomba anitazame kwa jicho la husuda.
Niko timamu na akili zangu ila kusema ukweli huyu dada namzimia
Nimeipenda sana hii figure ngoja nikatoe ndulele zangu kazi ianze![emoji116][emoji4][emoji4][emoji4]Wewe unatumiaga?