Nampenda sana huyu binti

Nampenda sana huyu binti

Ukifanikiwa kumpata kisha ukawa nae na wewe siku mkiwa hampo katika good terms wanaume wamchukue wakugongee sio?
 
Naleta kwenu wadau,

Yupo dada mmoja ambaye nimetokea sana kumpenda. Ukaribu wetu na kufahamiana kulianza mwaka huu mwezi January. Sasa baada ya kufahamiana kama marafiki kwa muda sasa nimetokea kumpenda na kumuhitaji maishani kama mke wangu. Nina miaka ishirini na nane sasa na ningetamani kuoa mwakani mambo yakienda vyema. Nisingependa kufika 30yrs sijaoa.

Tatizo langu ni moja, huyu binti baada ya kumweleza ukweli alinitamkia waziwazi kwamba ana mtu ambaye wako kwenye mahusiano japokuwa hawapo in good terms lakini wako pamoja. Swali langu ni moja, je niendelee kukaza uzi kwa huyu binti especially at this time akiwa na mahusiano shake? Au niachane nae tuendelee kuwa marafiki tu?

Naomba ushauri wenu wadau

Nawasilisha
Mwambie weekend unataka kutuma wazee wako nyumbani kwao kwa lengo la kuleta Posa...then sikiliza Jibu lake
 
Kupenda kunahitaji kutumia akili sana kuliko kupeleka moyo utaumia
 
Wadau nimewasikiliza wote kwa michango na mawazo yenu. Naomba niwashirikishe maamuzi yangu kama ifuatavyo;

Nimeamua kwa moyo mweupe kabisa kuendelea na mchakato wangu wa kukaza uzi bila kukata tamaa kabisa. This may come with cost, and there may be a price to pay but naamua kujilipua and I am ready for all. I will only have to act gently and manly kumfanya awe na sababu as to why I am the best, and that's it. Sitaponda upande wa pili wala kutaka kujua the reason for their differences at all. But I have come to discover kwamba the gravity of their misunderstanding in kwamba jamaa yuko zero kwenye kucare. Trust me, I will take this as an opportunity to give her care not because I want her but pia I know najua sana kucare. Come what may....I will fight till the last drop of my sweating.

Nimemaliza. Chapter closed.
Mrejesho!
 
Heshumu maamuzi yake,na kama una moyo wakumsubiria mwenzio awache ubakie kama fisi subiri...
 
Back
Top Bottom