Nampenda sana huyu binti

Nampenda sana huyu binti

Ushauri wangu ni kwamba usichukue ushauri wowote uliopewa hapa ikiwa pamoja na huu wa kwangu.
 
komaa bro...kwani kwanzia ujue wanawake ni lini ulishawah tongoza ukaambiwa yuko single..!?? hyo ni style yao yakuondoa usumbf....
 
Umefuatilia na kujua kwa nn wapo kwenye bad terms? Ukimpata kwa kutumia udhaifu huu basi na mtu mwingine atamchukua kwa udhaifu huu huu ulioutumia ww
 
Naleta kwenu wadau,

Yupo dada mmoja ambaye nimetokea sana kumpenda. Ukaribu wetu na kufahamiana kulianza mwaka huu mwezi January. Sasa baada ya kufahamiana kama marafiki kwa muda sasa nimetokea kumpenda na kumuhitaji maishani kama mke wangu. Nina miaka ishirini na nane sasa na ningetamani kuoa mwakani mambo yakienda vyema. Nisingependa kufika 30yrs sijaoa.

Tatizo langu ni moja, huyu binti baada ya kumweleza ukweli alinitamkia waziwazi kwamba ana mtu ambaye wako kwenye mahusiano japokuwa hawapo in good terms lakini wako pamoja. Swali langu ni moja, je niendelee kukaza uzi kwa huyu binti especially at this time akiwa na mahusiano shake? Au niachane nae tuendelee kuwa marafiki tu?

Naomba ushauri wenu wadau

Nawasilisha

hujui yaliyo moyoni mwake... huwezi kuuthibitisha uhusiano wake na huyo bf wake... so mvutie kasi kama miezi 6 hivi kuona kama atayakumbuka maneno yako juu ya kutangaza nia kwake,,, ukiona kimya anza kutafuta reserve,,, mwaka ukiisha funga milango,muendelee na urafiki but moyo mfungulie mtu mwingine..
 
Huyo binti yuko serious na mtu wake pamoja na mgogoro uliopo lakini utakapo lazimisha kumbuka amekeleza mapema. Usije kuja hapa unalia tena. Mambo ya kupenda mara nyingi ni emotions tu ambazo unaweza kuzicontrol kwa kukubali ukweli. Sasa cha msingi angalia mbele maisha siku zote ukilazimisha utakuja kujuta, ukipumbaza kuna kupambazuka. Take care mkuu
 
Yaani mm msichana akiniambia ana mtu NINAKOMA hapohapo! Siwezi kumtajia tena habari hizo.... Sasa kama anakuwa amenidanganya inakula kwake mazima...
 
Wadau nimewasikiliza wote kwa michango na mawazo yenu. Naomba niwashirikishe maamuzi yangu kama ifuatavyo;

Nimeamua kwa moyo mweupe kabisa kuendelea na mchakato wangu wa kukaza uzi bila kukata tamaa kabisa. This may come with cost, and there may be a price to pay but naamua kujilipua and I am ready for all. I will only have to act gently and manly kumfanya awe na sababu as to why I am the best, and that's it. Sitaponda upande wa pili wala kutaka kujua the reason for their differences at all. But I have come to discover kwamba the gravity of their misunderstanding in kwamba jamaa yuko zero kwenye kucare. Trust me, I will take this as an opportunity to give her care not because I want her but pia I know najua sana kucare. Come what may....I will fight till the last drop of my sweating.

Nimemaliza. Chapter closed.
 
kaza uzi umnase!

Yeeeeeaaaaaaaaahp..! Na mfokoni uwe vyema pia jifunze weekness alizonazo mpenzi wake if possible..! Then utaona mambo yanavyoteleza kama umeangukia ganda la ndizi a.k.a mlenda na bada
 
Nkaushauri usikaze uzi,kwa sababu huyo mwanamke anampenda huyo aliyenaye japokuwa wametofautiana(ambalo ni jambo la kawaida)...ukilazimisha mambo ipo siku utaumia na hapo tayari utakuwa ndani ya ndoa,tafuta aliye single wapo wengi sana...

usitafute maumivu ya ndoa kwa lazima
Ni kweli kabisa
 
Epuka mahusiano ya mke kukupenda kwasbabu amekosana na mtu wake. Nasema hivyo nikiwa na maana kwamba huwa wamefanya mahusiano.kwa mihemuko ambapo baade huweza kubadilisha maamuzi. Kama lengo ni kuoa achana naye utapata mwingine.
 
Ukikaza uzi utampata ila baada ya kuoana lazima jamaa atakuwa anamega.
 
WOW
First, karma will play its part...

Second, you training her to quit

Personally sikuwa naelewa hivyo until when I grabbed another dude's woman

I eventually got real with her along the way....

Not long before another men yaaani she was in racing searching for perftect human being...

So she had me and other multiple men dating while she doesn't straight up with me until I found out and departed...

Muache boss focus on your personal development. ..

Chenginewe hakuna limit ya mwanaume kuwa na familia as long as mzima... better ni kuingia katika jukumu detailed itasaidia kukufanya uwe responsible. ..

Wanaokomaa na better life they marry at their 30s son....


Utampata right candidate ukimlazimisha huyo later utakuja chapiwa labda ufanye
Kisha uje uone
 
Huyo mbona kakuwashia green light kabisa, wengine tunakomaa na tumeambiwa Niko happy na relationship yangu.
Go and get her, furaha inatafutwa usisubiri ikufuate
 
Back
Top Bottom