Nampenda sana huyu binti

Nampenda sana huyu binti

kama unampenda na njugu mfukoni zipo usifanye ajizi kama jua linawaka mfukoni utajipa donda ndubu dont touch it until ......
ila fanya kwa busara ujishushe, wanawake wote ni special group ukimshindwa basi humpendi.

respect to all mama!
 
Ndoa za siku hizi zinasumbua kwa sababu kama hizi. Wewe mtu kakwambia ana mtu hatakama hawako vizuri sasa lakini huyo Dada anampenda Jamaa yake angekua hampendi asingekuambia. Wewe ukifanikisha kumuoa huyo dada wakati wowote jamaa atakugongea tu na tena mkeo atakua anamtafuta huyo jamaa. Maisha ya ndoa hayafanani na maisha unayoishi wakati wa uchumba hapo ndipo atakapojifunza udhaifu na ujinga wako wewe hivyo atarudisha upendo kwa jamaa yake na wewe utabaki kusema wanawake siyo waaminifu. Tumia akili bro mwenye ndoa hatufanyi mashindano na hatuhongi kama unavyo dhani wewe, mwanamke anaudhaifu wake kama ulivyo wewe na madhaifu. Kukua siyo kukomaa sura ni kujua mengi na kuamua kwa busara.
 
What if hayuko kwenye uhusiano kabisa anakudanganya ili aone msimamo wako. And what if she is happy in her relationship anataka kukulaghai akuchune then akaolewe na jamaa yake. Wewe fuata moyo wako tu.
 
Safi sana mkuu itabidi afuate ushaur huu vingnevyo 2tasubr mrejesho wa machoz kwa kung'ang'ania pacpo hucka
Sidhani kama itakua sawa kumvujia mwenzio ili upate wewe,na vile vile unahakika gani kama akitoka huko aliko utachukua wewe? Kheir kukosea kujenga kuliko kukosea kuoa, vuta subra mtangulize mwenyezi mungu kwenye kila jambo lako
na mwenye kheir na wewe atakuja..
As long as huyo mdada ameshakwambia yuko na mtu heshimu maamuzi yake na endelea na maisha yako bila kutaja kujua kama huyo bwana wanaelewana au laa, kama rizki yako atakuja.
 
Fikiria, ungekuwa wewe ndio mmiliki wa huyo mchuchu, halafu akatokea jamaa akakupora huyo bibie...utajisikiaje?
 
Kuna samaki wengi sana baharini mwana. Mmoja akistukia chambo haimaanishi wote wako hivyo hivyo. Tuliza boli endelea kusubiria ndoana itachomoka na nani
 
Ila kiukwel bila kukurupuka zipo njia nying za kutafuta furaha, usikaribu kuvunja ya mwenzako kisa kujenga yako, utakuwa unakosea, kiukwel ndo nyie baadae mnagongewa wake zenu, kwa kulazmisha kwenu Ushaur

kbs hbr ndo hii km hatazingatia huu ushauri acje mlilia mtu
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini unajua wazi kuwa huyu mdada ana mtu tena kakuambia kuwa wapo kwenye uhusiano, hajakuficha bali kakuambia wazi. Bado unamtamani kweli??? Au unataka kupima oil tu usepe?
Mbona wanaume siku hizi tumepungukiwa na wivu kiasi hiki?? Miye nilivyo na wivu, hata mke wa mtu akiniambia walipeana na mmewe usiku wa leo, siingiii. Weye mtu kakuambia kabisa kuwa walikuwa wanapeana japo tu sasa hawatikisi sana tena, weye unataka si kuonja tu bali kuuchonga mzinga?? Endelea mkuu lakini tukijaaliwa, usiache kutujuza utakapo chapiwa kwani mume ni yule aliyekutangulia, weye wa pili tuuu
 
Mapenzi huwa ni ya pande mbili.Ukilazimisha yawe ya upande mmoja usije laumu mtu
 
Back
Top Bottom