View attachment 32130
Wadau salam,
Kusema kweli bila kuuma maneno nimetokea kumpenda sana huyu binti ila sijui hata namna ya kukutana nae ili nimwambie kilichopo moyoni mwangu, kama atakuwepo mtu hapa JF akafanikisha hili nitafurahi sana.
omba namba kwa hashiimu...
swaga za kizungu unazo baba?
usije ukaboleka bure we wwataka swaga za kibena yeye analeta za broklyn...
i knw her.
kwa fashen show poa bt for woman to mary hapana NOOO!!!!!!!!!!!
duh! umeua vibaya.
View attachment 32130
Wadau salam,
Kusema kweli bila kuuma maneno nimetokea kumpenda sana huyu binti ila sijui hata namna ya kukutana nae ili nimwambie kilichopo moyoni mwangu, kama atakuwepo mtu hapa JF akafanikisha hili nitafurahi sana.
Kweli mkubwa sasa nitafanyaje yaani kama nimelogwa vile....
kweli umelogwa...km vile mtu anarogwa awe mchafu,chapombe,mwehu basio na wewe kumpenda uyu kweli umerogwaaaaaaaaaaaaaaa....
mi nampenda mzuri sana kwa nje...lakin si kwa matumizi ya nyumban.
habari lako la asubuhi bana............................