PAPA OBAMA
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 204
- 87
huyu
dada huwa nikisikia ile swaga yake mi hoi huwa ana sauti ya bezi hii
kwangu ni sauti ya gharama huwa inauchoma moyo wangu plz njiwa nakutuma
peleka salamu au mwenye cont zale plz