MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,517
- 39,094
Well said and critical analysisHeri ya mwaka mpya wana JF
Kwanza naomba nikiri mimi siyo chawa na siamini kwenye uchawa. Pili mapenzi yangu kwa huyu mama si ya kimahaba au kingono, bali navutiwa na jinsi alivyo nyanyuliwa na utendaji wake.
Sababu zangu:
Kwanza, huyu mama ni chaguo la Mungu. Hakuwahi utaka uraisi, bali uraisi umemtaka yeye.
Wapo wale wapiga mapambio wa tawala zilizopita na zitakazokuja wajifunze kutoka kwenye maandiko: Bwana asipoijenga nyumba, waijengao wanafanya kazi bure. Tazama: Zaburi ya 127
Pili, huyu mama ni mtenda haki, na kwa kitendo hicho atashibishwa.
Huyu mama katika kipindi kifupi cha utawala wake amefanya matendo makuu ya haki, amewagusa walioonewa, amewatoa magerezani wafungwa wa mchongo, amesambaratisha wadhalimu na magenge yao (Sukuma Gang), amerudisha matumaini yaliyopotea (mikutano ya hadhara) na sasa anajenga umoja wa kitaifa uliobomolewa kupitia Katiba Mpya.
Bwana wetu Yesu Kristu anasema heri wapatanishi, maana wao wataitwa wana wa Mungu, heri wenye njaa na kiu ya haki, maana wao watashibishwa. Tazama: Injili ya Mtakatifu Mathayo 5:6-10
Tatu, Mungu hujiinua kupitia udhaifu wetu, hivyo ukuu wa Mungu na upako wake unadhihirika
Tangu kale Mungu amefanya kazi na watu dhaifu au waliodharaulika, angalia background za manabii kama Musa na Daudi, pia na bwana wetu Yesu Kristu. Ni katika udhaifu, ukuu wa Mungu hujidhihirisha. Mungu ametaka tuwe na raisi mwanamke, katika mfumo dume wa leo, isigekua rahisi, kama si kwa mapenzi ya Mungu huyu mama kuupata uraisi.
Kama Mungu amempenda mama Samia Suluhu Hassani mimi ni nani wa kubisha?
Mungu anawapenda maraisi wote wa Tanzania, ila amewapenda zaidi Benjamin Mkapa na John Magufuli, tuendelee kuwaombea waendelee kupumzika kwa amani
Nawatakia jumapili njema..
Good positivity, umeanza siku vema hongera zake Ndugu Rais Hassan kwa zawadi ya utumishi toka kwa MunguHeri ya mwaka mpya wana JF
Kwanza naomba nikiri mimi siyo chawa na siamini kwenye uchawa. Pili mapenzi yangu kwa huyu mama si ya kimahaba au kingono, bali navutiwa na jinsi alivyo nyanyuliwa na utendaji wake.
Sababu zangu:
Kwanza, huyu mama ni chaguo la Mungu. Hakuwahi utaka uraisi, bali uraisi umemtaka yeye.
Kuna wale maviongozi waliopata uongozi kiudhalimu, kuiba kura, kutesa na kukandamiza wenzao alafu wanakuja bila haya kutuambia wao ni chaguo la Mungu.
Huyu mama, haikua hivyo, yaani ameupata uraisi kwa mapenzi ya Mungu ki ukweli

Naona Michongo yako imekunyookea kwenye utawala Mama Samia!? Kutesa kwa zamu!!Heri ya mwaka mpya wana JF

Tangu kale Mungu amefanya kazi na watu dhaifu au waliodharaulika, angalia background za manabii kama Musa na Daudi, pia na bwana wetu Yesu Kristu. Ni katika udhaifu, ukuu wa Mungu hujidhihirisha. Mungu ametaka tuwe na Rais mwanamke, katika mfumo dume wa leo, isigekua rahisi, kama si kwa mapenzi ya Mungu huyu mama kuupata urais.
Kama Mungu amempenda mama Samia Suluhu Hassani mimi ni nani wa kubisha?
Mungu anawapenda maraisi wote wa Tanzania, ila amewapenda zaidi J.K. Nyerere, Benjamin Mkapa na John Magufuli, tuendelee kuwaombea waendelee kupumzika kwa amani
Nawatakia Jumapili njema.
100% supportKwanza, huyu mama ni chaguo la Mungu. Hakuwahi utaka uraisi, bali uraisi umemtaka yeye.
Asante mtumishi wa Mungu kwa Uzi bora kabisa wa kuanzia Mwaka 2023Heri ya mwaka mpya wana JF

Mimi ni m-Tanzania, pambana na hoja mkuu siyo mleta hojaWe Ni mnzazibar?
Yuko kwenye right trackMi naona kufikia 2028,kama atakuwa amefanikiwa kupita 2025 atakuwa ameshadhihirisha kwa nini yeye ni chaguo la Mungu. Huyu Raisi anakila aina ya sifa yaan kiutawala bora,huruma ila mkali ukimzingua, kihuduma za jamii ingawa tanesco ndio inazingua. All in all, atakumbukwa kwa vizazi na vizazi
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeniNaona Michongo yako imekunyookea kwenye utawala Mama Samia!? Kutesa kwa zamu!!
Asante na wewe mkuuAsante mtumishi wa Mungu kwa Uzi bora kabisa wa kuanzia Mwaka 2023
Mwamba mimi nipo humu siku nyingi, nadhani wewe ni mjukuu wangu, nimekuhuliza swali, wewe ni mnzazibari?Mimi ni m-Tanzania, pambana na hoja mkuu siyo mleta hoja
Mkuu sisi waTanzania, hatujafikia huko, kutambuana kwa maeneo tutokayo au makabila yetu, itoshe kukuambia mimi natokea TanzaniaMwamba mi nipo humu siku nyingi ,nadhani we ni mjukuu wangu,nimekuhuliza swali ,we Ni mnzazibari?
Tunampenda mama yetuHeri ya mwaka mpya wana JF
Kwanza naomba nikiri mimi siyo chawa na siamini kwenye uchawa. Pili mapenzi yangu kwa huyu mama si ya kimahaba au kingono, bali navutiwa na jinsi alivyo nyanyuliwa na utendaji wake.
Sababu zangu:
Kwanza, huyu mama ni chaguo la Mungu. Hakuwahi utaka uraisi, bali uraisi umemtaka yeye.
Kuna wale maviongozi waliopata uongozi kiudhalimu, kuiba kura, kutesa na kukandamiza wenzao alafu wanakuja bila haya kutuambia wao ni chaguo la Mungu.
Huyu mama, haikua hivyo, yaani ameupata uraisi kwa mapenzi ya Mungu ki ukweli
Wapo wale wapiga mapambio wa tawala zilizopita na zitakazokuja wajifunze kutoka kwenye maandiko: Bwana asipoijenga nyumba, waijengao wanafanya kazi bure. Tazama: Zaburi ya 127
Pili, huyu mama ni mtenda haki, na kwa kitendo hicho atashibishwa.
Huyu mama katika kipindi kifupi cha utawala wake amefanya matendo makuu ya haki, amewagusa walioonewa, amewatoa magerezani wafungwa wa mchongo, amesambaratisha wadhalimu na magenge yao (Sukuma Gang), amerudisha matumaini yaliyopotea (mikutano ya hadhara) na sasa anajenga umoja wa kitaifa uliobomolewa kupitia Katiba Mpya.
Bwana wetu Yesu Kristu anasema heri wapatanishi, maana wao wataitwa wana wa Mungu, heri wenye njaa na kiu ya haki, maana wao watashibishwa. Tazama: Injili ya Mtakatifu Mathayo 5:6-10
Tatu, Mungu hujiinua kupitia udhaifu wetu, hivyo ukuu wa Mungu na upako wake unadhihirika
Tangu kale Mungu amefanya kazi na watu dhaifu au waliodharaulika, angalia background za manabii kama Musa na Daudi, pia na bwana wetu Yesu Kristu. Ni katika udhaifu, ukuu wa Mungu hujidhihirisha. Mungu ametaka tuwe na Rais mwanamke, katika mfumo dume wa leo, isigekua rahisi, kama si kwa mapenzi ya Mungu huyu mama kuupata urais.
Kama Mungu amempenda mama Samia Suluhu Hassani mimi ni nani wa kubisha?
Mungu anawapenda maraisi wote wa Tanzania, ila amewapenda zaidi J.K. Nyerere, Benjamin Mkapa na John Magufuli, tuendelee kuwaombea waendelee kupumzika kwa amani
Nawatakia Jumapili njema.
Wale ambao hawakuwa machaguo ya wanadamu na MunguYupi mliwahi kusema hakuwa chaguo la Mungu?!
Mfano yupi?Wale ambao hawakuwa machaguo ya wanadamu na Mungu