Hebu endelea kulia kwanza,ukinyamaza useme sasa unataka nini,ili watu wajimwage!
jus talk to her i believe everythin will b alright
Endelea kumuomba msamaha na pia uache kukurupuka mnapoudhiana na kumtumia "sms za hasira". Uwe unasubiri hasira ziishe ndio muwasiliane tena.
nshamaliza bhululu..jaman!ila cjui nfanyeje ili tuwe frnds tena
BAK...nshajifunza kutokana na makosa!!-itorudia tena...Asante
or ask someone to talk to herr wats her name?mayb i can talk to herr if u allow me
Kama umemaliza sawa,sasa mpe mda kidogo huyo rafiki yako angalau mwezi hivi,halafu endelea na juhudi zako za kutafuta suluhu.Vilevile tafuta mtu awakutanishe ili muongee.Nimependa ulivyojieleza maana umetambua kosa lako na unaomba msamaha.Huo ndiyo ustaarabu.Mwisho na muhimu kuliko yote, muombe Mungu sana.
nilipoingia 4m 5 nimesoma shule ya girls only...nilimpenda rafiki yangu mmoja sanaaaa kuliko wote...nilimpa zawadi nyingi hata wakati wa likizo nilikuwa namtembelea kwao..nilimpenda sana...kila tukigombana tunasameheana.juzi aliniboa kidogo nikamtumia sms za hasira za kwamba cmpendi tena amen ila badaae hasira zilipoisha nkajikuta nalia sana kumpoteza rafik yangu nilimuomba msamaha ila hakunijibu bkoz sms nilizomtumia zilikuwa mnbaya sana...bado nampenda rafikitoka na hatuwezi kuwa marafiki tena!
https://www.jamiiforums.com/login.php?do=login