Nampenda my clas$ met | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda my clas$ met

Discussion in 'Love Connect' started by Mohamedi Sekiet, Jul 15, 2011.

 1. M

  Mohamedi Sekiet New Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana Jf nampenda sana my class met lakini wala hani pend. Unajua ilikuaje 1st time am join in unvst of st,John i was met a girl who was love me a lot yani she was crazy over me but sudenly after 1st semistes shewas change and we were nt good in our relation i was realy trièd to mek her love me as past coz i lov hm so much and iwas left my girl coz of her but haikutosha after one ýear she was left me coz shet got a gy who was his lv at past but she said she stil love me as so much but at this time she told me to stay away 4rm her. So marafiki wa jf tell what can i do coz i love her so much.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 45,282
  Likes Received: 10,912
  Trophy Points: 280
  Nakushauri utumie kiswahili kwa kuwa hujui kiingereza kabisa!

  Afu kama hicho chuo unachosoma kiko Tanzania nadhani TCU wana kazi kubwa. Huna sifa ya kusoma chuo kikuu!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,750
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Mmh! Naona kijana umetema mayai viza.
   
 4. Kalamzuvendi

  Kalamzuvendi JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 80
  Dah........kazi ipo,mi kayumba kwenye unge'ng'e lkn hapa duh!!,bora mie pamoja na ukayumba wangu.
   
 5. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,420
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwakweli hii inaonyesha jinsi gani elimu yetu haiendi mbele inazidi kushuka tu. Kuna bwana mdogo wa UDOM nae alikuwa na kiingereza size ya bibi yangu kule kijijini kwetu. Kaja mwengine kajisifu kasoma Malaysia Kuala Lumpur nae kaja na mafyongo ya kiingereza. Leo tena mwengine St John anakuja na Kiinglish maskini. Ni aibu wajameni! Huko makazini wakiwa na mameneja wazungu sijui inakuwaje!
   
 6. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,331
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 180
  Yaani wewe kama ndio hivi lazima utoswe tu.... manake kuongea Kiswahili hujui na Kiingereza ndio hicho....
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,316
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  mkuu hivi ni kweli upo chuo kikuu??? nadhani atakuwa amekuacha kutokana na kiingereza chako kilichokufa...hapo kwenye red ni mfano kidogo tu kwani mwanzo mwisho umekoboa.
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha
  Dahhhhh hiyo English
  kazi kweli kweli..

  Kuna sentence umetumia nafsi ya kiume
  Him .. na jina lako Mohammed
  Kwingine kote unamuongelea mwanamke..

  Tafadhali fuata ushauri wa Asprin
  Sante kwa kunichekesha lolz..
   
 9. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 469
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama ndio mbwembwe ulizokwenda nazo kwa huyo mwanamke ana kila sababu ya kukupiga chini
   
 10. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1,781
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kijana acha kuweweseka na mapenzi ya shule utadisco na kupoteza malengo yako. Mliingia mkataba feki wa kumuacha umupedae na yeye kuwa na ampendae. Sasa amegundua kuwa naye ungemuacha tu akaona heri arudi alikotoka '' Zimwi likujualo''. Sasa lazima umuonyeshe kuwa wewe ni mwanaume kwa kutolialia tafuta mwingine akupende.
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 45,282
  Likes Received: 10,912
  Trophy Points: 280
  Aliyekuchesha ni Asprin au mmwaga ung'eng'e pori?
   
 12. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,277
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kaka,usife moyo,fuata ushauri walio kuambia jamaa,tafuta thread ambazo zitakuwezesha kurekebisha kizungu chako.
   
 13. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1,781
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mdogo wangu nakuomba masomo yawe ndio mpenzi wako na ujitahidi kumpa muda mwingi na kumpenda kingereza atakusaidia sana maishani
   
 14. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hicho ni kijamaica :]
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,506
  Likes Received: 1,341
  Trophy Points: 280
  Jamani mwacheni,sasa mabinti wa Jf watamzimiaje,si mnakumbuka ule uzi wa bila kujua kiinglishi huwezi kupata dem?Teh,teh,teh,teh!
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160


  The Finest ndio mtaalaam wa hawa jamaaa.... hopefully leo atawasiri... kazi ipo!!

  JK kakazana kujenga madarasa alafu haboreshe Education related aspects... Too bad.
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Babu shikamoonimependa ushauri wako..Lakini kilichoniacha hoi Ni hicho kithungu... Halafu yuko UNI...dahhhhh
   
 18. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,278
  Likes Received: 1,670
  Trophy Points: 280
  duuuh...kweli elimu yetu ina safari ndefu kufika tutakako
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,506
  Likes Received: 1,341
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa mbona harespond?
   
 20. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mimi nafikiri huyu jamaa anafanya tu utani.... siamini kabisa kama mtu anaweza kuwa University halfu aandike hivyo....hapana! Ameamua kufurahisha jamvi, au ni amemaliza tu std seven!
   
Loading...