Nampenda msichana fulani lakini ana boyfriend

Nampenda msichana fulani lakini ana boyfriend

Mkuu mambo ya 0713 siyapendi sana tafadhali ni shaur well

Yaani iko hivi, ukimendea/ukimtaka demu wa mwenzako hakikisha unatembea na chupa za kyjelly maana marindious yako yanaweza yakachanwa na huyo jamaa ambaye ni mmiliki wa huyo demu.

Maana, siku akikudaka au akagundua kuwa unakula demu wake basi ataweka mtego ili wakati unakula demu wake na vijana wengine watakuwa juu yenu wakikukamua 0713. Hivyo, Labda utembee na mafuta kyjelly ili ujirainishe kabla hujaliwa bila hata maji au mate.

Kama hujaelewa hadi hapo basi "wewe utakuwa ni mtoto siyo riziki "
 
Kumbe mmefikia hapo dah noma bhita ni bhita mura
 
Kumbe mmefikia hapo dah noma bhita ni bhita mura

Haaaa haaaa haaaa haaaa

Utatubha hata mabhomu ila watakula vocha zako zote za 0713 bila ganzi wala vipimo vya doctor.

Kwa hiyo, endelea naona nyota ya kuondolewa marindarious inakukaribia.
 
Haaaa haaaa haaaa haaaa

Utatubha hata bhomu Ila watakula vocha zako zote za 0713 bila ganzi wala vipimo vya doctor.

Kwa hiyo, endelea naona nyota ya kuondolewa marindarious inakukaribia.

Siendelei mkuu hata kwa mtutu dah unanikanya kwa vitisho vya kibiti mh
 
Inaonekana now wako kileleni mkuu hivyo kugusa palipokolea ni kujitafutia chuki za bure ngoja labda kukiwa na tatizo la speed ntajarb
Ww n lofa wa kupindukia
Kwa hali hyo utaishia kula tu kwa
Macho
 
Yan kitu kinachoitwa uoga
Kilaan kabsa msishan mwako
Ndo adui wa maendeleo

Ona kama huyu uoga unamkosesha mtt mzur
Kabsaa tena hata huenda
Na dem.anamzimia lakin
Yy kama amelishwa zege
 
Yan kitu kinachoitwa uoga
Kilaan kabsa msishan mwako
Ndo adui wa maendeleo

Ona kama huyu uoga unamkosesha mtt mzur
Kabsaa tena hata huenda
Na dem.anamzimia lakin
Yy kama amelishwa zege
Uko sahihi but kwa upande mmoja tu
 
Bro mwanamke siku zote anaesemaga yupo na boyfriend na mwanaume siku zote yupo single ni juhudi na bidii zako we komalia inaweza kuwa zali lako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom