Nampenda mpenzi wangu ila ni chibonge

Nampenda mpenzi wangu ila ni chibonge

We hujampenda huyoo acha kumdanganya...me wangu alinenepa sana baada ya kuzaa na akawa na kitambi but still alikuwa ni my number one na hakuna badiliko la mwili wake lolote lililokuwa linankera mpk leo...kuna muda anajistukia ananambia mpenz najiona nmenenepa hlf nna kitambi...me namwambia ndio mke wng ila ndo umezd kuwa mzur na kitambi chako kiko sexy sanaa...me nakipendaa sanaa.....Jifunze ku appreciate umbo la umpendae....Je akipata ajal akawa kirema si utamkimbia wewe
 
Dah inamaana ulivokua namtongoza ulikua huoni kama ni kibonge? Muache atapata atapenda na ukibonge wake usitafute excuse ya kuja kumtesa mbeleni, katafute flat tummy huko wapo kibao [emoji19][emoji19]


Umetukosea sana vibonge
Tena awaombe radhi akiwa amepiga magoti na kusema: "Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana"
Binadamu tuko tofauti aiseee mimi nikimuona mwanamke mwenye mwilimwili na kakitambi kwa mbali hua mapigo ya mbio yanaenda moyo.
 
Nimekutana na mwanamke huyu msomi ana tabia njema , anajua mapenzi, anajua kupika, ana sura nzuri, ana umbo zuri akivaa nguo,

Ila chibonge, tumbo ni kubwa nyama uzembe , nishaurini mana hakuna mkamilifu.
Ujue Kuna tofauti Kati ya Mwanamke Mnene na Mwanamke mwenye Tako

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom