Nampenda mme wangu lakini hataki kuyapokea mapenzi yangu nifanyeje?

mimi naijua dawa ya huyo mumeo ila uni pm kama upo serious laa sivyo mto utakua ndio mumeo machozi ndio rafiki yako hakuna dawa si kikao wala ushauri maana kama hakusikii wewe hakuna atakae msikia hata mama yake mzazi atamjibu sawa mama alafu ataendelea huko nje
 
Unataka nirudi mapema kufanya nini , nyumba haina amani mama una gubu weye kila kitu lazima useme kama wewe ni malaika vile,. Nimekuamini nakushirikisha kila kitu lakini wewe unaficha kila unachofanya,na kwa taarifa yako najua kila kitu nimegundua huna future yoyote na mie ndio maana unafanya hivyo. Hata unavyojifanya unanipenda nakuona ni pretender mkubwa. Nadhani kila kitu utapata kutoka kwenu (Mama yako). Fikria watoto hao wewe ndio utawaharibia system.
 
Kumbe anarudi usiku, mi nilikuwa nalala huko huko, kadri muda ulivyotokomea na mabadilko yakanza tokea, siku hizi ripoti nyumbani ni saa 12.30 jioni, nikitoka ni hatua kumi toka kwangu, kurudi ni saa tatu na nusu.

Mweleze hayo ni mapito tu, akikua ataacha.
 
Pole sana condorezaraisi kwa yaliyokukuta kwenye Maisha yako ya ndoa lakini kuwa na Imani ipo siku Mumeo atajua umuhimu wako kama mwanzo hata hivyo wewe pia unaweza kuwa chanzo cha hayo mabalaa,ingekuwa vizuri ungejichunguza mwenyewe kwamba umebadilika nini au ungetambua mumeo anapendelea ni kwako kwa kufanya hivyo unaweza kutatua tatizo lako kwa urahisi.
Mtangulize MUNGU kwa kila Jambo nawe Utafanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Hish! Kumbe jamaa POPO ee?
Bath naomba uthiku uthiingie!
...
Gud nun!
Nalog off!

Kiuhalisia hasa, mkisha kuoana love story hugeuka kuwa life story.

Ndoa 1 kwenye kila ndoa milioni 1 ndo utakuta bado penzi limesimama vilevile.

Cha muhimu ni kuvumilia tu kama unaweza, kama huwezi unasepa zako na.mapemaaaaaaa.

Stress zinatia maradhi na pia zinaua.
Ya nini???
 
Just try to balance your love. Coz u show him much love that makes him to hate you simply like dat.
 
Binamu nashukuru kwa upendo wako binamu

Avatar yako inasema mengi sana

Haya ndiyo yametoka kulalamikiwa hapo!!? unaambiwa nakupenda binamu unaishia kusema unashukuru kwa upendo! Badala ya kumpa kajineno ka kumpenda pia!!?

Ama kisa ni lile jibu lako kwa faru dume?!
 
Pole na kazi dadaangu

Mie ni mama wa watoto wawili wakike mmoja yuko 6 yrs na mmoja 1 yrs nimefunga ndoa na mme wangi miaka saba iliyopita,ninafanya kazi ,najipenda naipenda family yangu pia nampenda sana mme wangu na nimekuwa nikimuonyesha kwa vitendo kuwa nampenda
Tatizo lililonifanya nikuandikie ni hili ,baada ya miaka miwili ya ndoa yetu mme wangu amekuwa busy na mambo yake ,kurudi nyumbani usiku wa manane amelewa,na akiwa huko alipoenda mpaka usiku wa manane nikimpigia simu ananiambia anapajua nyumbani ..mwenzenu silali nakosa usingizi mpaka anaporudi nyumbani ndio naweza kupata usingizi japo kidogo ,na akiwa mbali nikimtumia meseji za kumwambia mme wangu nakupenda,mme wangu nakumiss ,nachojibu ni najua au asante ..Nashangaa mwenzenu maana nachotengemea ni nakupenda pia au nakumiss pia ,lakini yeye jibu ni "najua" ,Pia usipompigia saa nyingine usitegee yeye akupigie Linapokuja swala la matumizi ya ndani mpaka nimuombe hawezi sema huu mwisho wa mwezi nitoe hela kwa ajili ya matumizi ya family ,nakuomba omba sometimes inakuwa tabu ni mtu gani haya mtu anakuwa hajui mahitaji ya familia yake
Nimekuwa mpweke mpaka naona kama nadhulumiwa penzi langu ,natamani kusikia neno la nakumiss ,nakupenda pia .mme wangu ananifanya nianze kuwa mawazo mabaya
Nifanyeje wapenzi wangu naomba msaada wenu kimawazo
Muathirika
Pls usiweke email yangu

Ushauri wangu

Pole sana dada haya yote ni majatribu ya ndoa jaribu kuwashirikisha wasimamizi wa harusi yenu wamwite mkae na kutoa kero zinazokusumbua..inaweza kuwa msaada
***********************************************
source:JanetFashionandStyles: Dear JFS:Nampenda mme wangu lakini hataki kuyapokea mapenzi yangu nifanyeje?

Wanaume mnataka mpendweje ???:A S confused::A S confused:

Kuna njia ionekanayo nzuri machoni pa mwanadamu lakini mwisho wake ni mauti!
Tafuta mazingira tulivu na vitu avipendavyo mumeo, umfanyie kisha umcheki mood kama iko vizuri ujaribu kumuuliza kama kuna kitu kinamsumbua/mtatiza ashee nawe! Ktk maongezi hayo usiwe kunye mood ya kumlaumu au kumlalamikia, jifanye kama unaongea na best friend wako usiye na mahusiano ya mke/mume! Jaribu kujua matatizo au vipingamizi anavyokutana navyo vinavyomuondoa kwenye mood yake ya zamani, na umuombe radhi kama ww ndo chanzo, na kwamba upo tayari kubadirika kwa neema ya Mungu kama unamkwaza kwa lolote lile!

Nasema haya kwa kuwa kunauwezekano pia kuwa mumeo anamsongo wa mawazo kwa kuwa kuna jambo furani linamsumbua na anajaribu ku'easy' stress kwa kunywa pombe na inawezekana kabisa asiwe na mahusiano yoyote na wanawake wengine wana nia yoyote mbaya na wewe. Ukiamua kumsaliti unaweza kupoteza kabisa ndoa yako maana inawezekana kabisa akawa yeye hajavuka hiyo mipaka na kwamba 'he is overwhelmed and frustrated za kazi, maisha magumu, siyo alivyo tarajia, he is under disappointments, majukumu na hajui ni kwa jinsi gani akushirikishe!
Just be positive and u'll be surprised by the outcome! Utafanyaje ukijakuta kwamba ww umeharibu zaidi!
Hayo mawazo ya kumsaliti mwenzio ni default kwa mtu yeyeto wa kidunia, na wala usisingizie kitu, ni roho ya usaliti tu ndio inayokutuma kufanya ujinga huo! Unatakiwa kuishinda hiyo roho, mpe Yesu maisha yako, utashangaa na matokeo!
Kumbuka ndoa ni ya watu wawili, akiongezeka wa tatu inakuwa mob!
Hiki ndio kipindi cha kuonyesha kama ww ni mke wa kweli au ni kituko tu! Unayo nafasi ya kumsaidia mumeo asije tokomea kabisa kusikojurikana. Haya yote yanategemeana na kile ukifanyacho sasa.
Kumbuka huyo ni mumeo peke yako, na kama mke unayo nafasi ya pekee ya kumkunja upendavyo kama utabonyeza 'right buttons'!
Jifunge mkanda mama, onyesha kuwa 'you are the only one for him, mpaka ajue hivyo, utarudi kutueza matokeo!
Acha ujinga changamka!
 
Haya ndiyo yametoka kulalamikiwa hapo!!? unaambiwa nakupenda binamu unaishia kusema unashukuru kwa upendo! Badala ya kumpa kajineno ka kumpenda pia!!?

Ama kisa ni lile jibu lako kwa faru dume?!

kumbe unanifatilia LOL.......

huyo binamu wangu ndo maana nimemshukuru na sio beby wala sweety
 
take care of ure child ma dear ukiendelea kushikilia la mumeo watoto utawaharibu,... achana nae,
 
take care of ure child ma dear ukiendelea kushikilia la mumeo watoto utawaharibu,… achana nae,
Yeah, aachane nae kwa kuwa ni kitu rahisi kufanya, na kwamba ataonekana kuwa ni mshindi eeh! Hujui ulisemalo ww!
 
doesnot mean to break up with him just amwache afanye anavyofanya ili watoto wakae vizuri mwishowe afe kwa presha aaache watoto wanateseka na baba asiyeeleweka .
 
Pole na kazi dadaangu

Mie ni mama wa watoto wawili wakike mmoja yuko 6 yrs na mmoja 1 yrs nimefunga ndoa na mme wangi miaka saba iliyopita,ninafanya kazi ,najipenda naipenda family yangu pia nampenda sana mme wangu na nimekuwa nikimuonyesha kwa vitendo kuwa nampenda
Tatizo lililonifanya nikuandikie ni hili ,baada ya miaka miwili ya ndoa yetu mme wangu amekuwa busy na mambo yake ,kurudi nyumbani usiku wa manane amelewa,na akiwa huko alipoenda mpaka usiku wa manane nikimpigia simu ananiambia anapajua nyumbani ..mwenzenu silali nakosa usingizi mpaka anaporudi nyumbani ndio naweza kupata usingizi japo kidogo ,na akiwa mbali nikimtumia meseji za kumwambia mme wangu nakupenda,mme wangu nakumiss ,nachojibu ni najua au asante ..Nashangaa mwenzenu maana nachotengemea ni nakupenda pia au nakumiss pia ,lakini yeye jibu ni "najua" ,Pia usipompigia saa nyingine usitegee yeye akupigie Linapokuja swala la matumizi ya ndani mpaka nimuombe hawezi sema huu mwisho wa mwezi nitoe hela kwa ajili ya matumizi ya family ,nakuomba omba sometimes inakuwa tabu ni mtu gani haya mtu anakuwa hajui mahitaji ya familia yake
Nimekuwa mpweke mpaka naona kama nadhulumiwa penzi langu ,natamani kusikia neno la nakumiss ,nakupenda pia .mme wangu ananifanya nianze kuwa mawazo mabaya
Nifanyeje wapenzi wangu naomba msaada wenu kimawazo
Muathirika
Pls usiweke email yangu

Ushauri wangu

Pole sana dada haya yote ni majatribu ya ndoa jaribu kuwashirikisha wasimamizi wa harusi yenu wamwite mkae na kutoa kero zinazokusumbua..inaweza kuwa msaada
***********************************************
source:JanetFashionandStyles: Dear JFS:Nampenda mme wangu lakini hataki kuyapokea mapenzi yangu nifanyeje?

Wanaume mnataka mpendweje ???:A S confused::A S confused:

usitumie nguvu nyingi, hebu mfanye aamini unayo yaonesha ni mapenzi ya kweli.
 
Pole sana condorezaraisi kwa yaliyokukuta kwenye Maisha yako ya ndoa lakini kuwa na Imani ipo siku Mumeo atajua umuhimu wako kama mwanzo hata hivyo wewe pia unaweza kuwa chanzo cha hayo mabalaa,ingekuwa vizuri ungejichunguza mwenyewe kwamba umebadilika nini au ungetambua mumeo anapendelea ni kwako kwa kufanya hivyo unaweza kutatua tatizo lako kwa urahisi.
Mtangulize MUNGU kwa kila Jambo nawe Utafanikiwa.

hiyo cku ni lini???
 
Last edited by a moderator:
Pole na kazi dadaangu

Mie ni mama wa watoto wawili wakike mmoja yuko 6 yrs na mmoja 1 yrs nimefunga ndoa na mme wangi miaka saba iliyopita,ninafanya kazi ,najipenda naipenda family yangu pia nampenda sana mme wangu na nimekuwa nikimuonyesha kwa vitendo kuwa nampenda
Tatizo lililonifanya nikuandikie ni hili ,baada ya miaka miwili ya ndoa yetu mme wangu amekuwa busy na mambo yake ,kurudi nyumbani usiku wa manane amelewa,na akiwa huko alipoenda mpaka usiku wa manane nikimpigia simu ananiambia anapajua nyumbani ..mwenzenu silali nakosa usingizi mpaka anaporudi nyumbani ndio naweza kupata usingizi japo kidogo ,na akiwa mbali nikimtumia meseji za kumwambia mme wangu nakupenda,mme wangu nakumiss ,nachojibu ni najua au asante ..Nashangaa mwenzenu maana nachotengemea ni nakupenda pia au nakumiss pia ,lakini yeye jibu ni "najua" ,Pia usipompigia saa nyingine usitegee yeye akupigie Linapokuja swala la matumizi ya ndani mpaka nimuombe hawezi sema huu mwisho wa mwezi nitoe hela kwa ajili ya matumizi ya family ,nakuomba omba sometimes inakuwa tabu ni mtu gani haya mtu anakuwa hajui mahitaji ya familia yake
Nimekuwa mpweke mpaka naona kama nadhulumiwa penzi langu ,natamani kusikia neno la nakumiss ,nakupenda pia .mme wangu ananifanya nianze kuwa mawazo mabaya
Nifanyeje wapenzi wangu naomba msaada wenu kimawazo
Muathirika
Pls usiweke email yangu

Ushauri wangu

Pole sana dada haya yote ni majatribu ya ndoa jaribu kuwashirikisha wasimamizi wa harusi yenu wamwite mkae na kutoa kero zinazokusumbua..inaweza kuwa msaada
***********************************************
source:JanetFashionandStyles: Dear JFS:Nampenda mme wangu lakini hataki kuyapokea mapenzi yangu nifanyeje?

Wanaume mnataka mpendweje ???:A S confused::A S confused:

Huumpendi mume wako na kama unampenda usingekuja kumuanika kwenye mitandao
 
Back
Top Bottom