Nampenda mke wakooooooooo!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda mke wakooooooooo!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kifulambute, May 17, 2011.

 1. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema hivi....."Msalimie mkeo bwana mwambie NAMPENDA SANA" jamani wanajamvi hebu nisaidieni katika hili kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Unauliza nawewe kesho mwambie hivyo hivyo!!Akiendelea mwambie nampenda Mamayako mwambie namsalimia!!:mod:
   
 3. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hahahahahahah Kakakiiza sasa hapo itakuwa ugomvi mwishowe.
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mhh hapo utata kiasi. Wife wako na jamaa wanafahamiana?
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wanafahamiana sana na mara nyingi kama tutakutana naye nina wife wanaitana shemeji shemeji
   
 6. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  asa mtu km huyo unatakiwa umwambiaje. uwe unamwambia ahsante basi!!!!
   
 7. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Akikuuliza hivyo unamsalimu au unamwambiaje mkeo
   
 8. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama huna amani mwambie ukweli hupendi utani wake...baasi.
   
 9. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii thread kama ya nanihii hivi kutokana na majibu yako, im out
   
 10. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mlimazuzu kweli sijawahi kumwambie wife ila jamaa kila nikikutana naye anasisitiza sasa nimechoka sana.........nataka kutembea na panga sasa
   
 11. s

  sawabho JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Huyo ni mtani wako, usijali maana kama angekuwa anampenda kwa kumtamani asingekwambia.
   
 12. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  muulize upendo huo ni wa namna gani??? kwa nini unakwazika??
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sema asante......
   
 14. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jiamini wewe ni mwanaume......achana na wivu wa kichekechea...ovyo.Si bora huyo anakwambia msalimie...kuna wengine wana'mnunulia chupi'' huyo mwenza wako.
  NB:Ukimfuatilia mwanamke na vitu vidogo vidogo utaishia kuchanganyikiwa......
   
 15. A

  Aine JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwambie mkeo hiyo tabia ya kuitana shemeji na salaam anazokutuma huyo anayemuita shemeji huzipendi, na huyo mwanaume mwambie ukweli hiyo tabia huipendi, kwanini uumie, sema naye ili aelewe, huenda anakutania tu hana maana yoyote mbaya! ila pia huenda kuna kitu kinafichwa hapo, kwa hiyo bora useme ukweli wako
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Dah... hapa inabidi kutulia... mmmh nitarudi... Pole by the way ila uwe na amani hajatembea nae ila anampango... kama nilivyosema nitarudi...
   
 17. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  sasa hapo ndio unaniumiza kichwa maana sasa na mimi nitaanza kusubiri mke wake maana wanaoana mwezi ujao.
   
 18. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  fikisha ujumbe uliotumwa nawe uangalie mkeo utapokea vipi
   
 19. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Eyeeee...! Kama una kifua cha plastic uishie hapo, lakini kama una uhakika kuwa una kifua cha chuma useme nikupe products za Great Thinking....!
   
 20. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hapana best inaumaa... Wewe uliishawahi?
   
Loading...