Waswahili walishasema siku nyingi sana........ya kitoto haikeshi......
mie nasubiri conclusion tu... sijui wale wa jana 7 5 mm na Vaislay waliishia wapi??? miss chagga na diranqhe feedback muhimu jamani....
nmeambulia manyoya tu.
Kuna watu hawa miss neddy , ICHANA , Dinazarde hawa ndio waliofanya nimkose Vaislay ningekuwa na bom hawa wadau ningekuwa nimewaripua
Makubwaaa kwan tulimshikiliaaa acha kunisingiziaa
miss chagga ana nyota ya chips kupendwa na madenti
nmeambulia manyoya tu.
Kuna watu hawa miss neddy , ICHANA , Dinazarde hawa ndio waliofanya nimkose Vaislay ningekuwa na bom hawa wadau ningekuwa nimewaripua
miss tumfanyie gwijimimi kama mbasha alivyofanyiwa na flora