shikamoo mume wangu huyu kaniambia tu ananipenda hakuna kingine
Umeshaachwa yakhee bora tu ujiweke kwangu
Hadi nifanye uchunguzi nijiridhishe
Hahaha, wahi nyumbani na maelezo kamili
nakaribia kufika mume wangu... leo unakula nini usiku?
nakaribia kufika mume wangu... leo unakula nini usiku?
Wali maharage tu nimekuja na whisky tutakunywa tu wakati wa mechi
mmmh at least now we can discuss per year you made 156,000,000 ..... hiyo ni halali bado ujaiba iba unaweza fika milioni miatatu... tunaweza ifanyia kazi tukapata milioni 30 na zaidi kwa mwaka tukaingiza faida ya milion 360,000,000...... je unahela ipo kwenye mzunguko mtaji wa kiasi gani... hope hyo milion 13 ni cash,...
mtaji sio mkubwa ni milioni 117 tu na hizo 13 ni cash mpenzi
Leo usinifikuze nikiuliza maswali
Maswali kesho asubuhi, sasa hivi nataka nimwangalie suarez anavyofanya yake
namuangalia tu anavyopenda wake za watu
ile sniper riffler imepata pa kufanyia mazoez
ntampiga risasi za ------ tu ashindwe kukaa
Acha funyo mpenzi Keane uliambiwa mi sipendwi tena
Wadada wooote ambao wapo "sitiriti" hajawaona
Anaofanya NAo kazi/shule hajawaona
Kwenye semina na mikutano hajawaona ila mke wangu ndo kamuona?kudadadeki namtoa/NAMMWAGA mtu "VIMA"
Acha funyo mpenzi Keane uliambiwa mi sipendwi tena
Relax baby
Sawa tu mi sina shida ile hela vipi sasa?
Hahahahahahaaaa Tized uko Wapi ndugu yng? OLESAIDIMU maneno Yako yanatimia Mkuu!
HANDSOME POCHI YAKO MWENYEWE MBEBAJI!