MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,486
- 44,262
- Thread starter
-
- #41
mimi nawaweka kwenye mchujo ni kazi lakini
mie nasubiri conclusion tu... sijui wale wa jana 7 5 mm na Vaislay waliishia wapi??? miss chagga na diranqhe feedback muhimu jamani....
baby fanya mchujo ambao hauna madhara kwangu
Uchonganishi....
Mi yalishanishinda, nina ndugu wakali hatari....wacha binamu miss chagga ajaribu hayo mambo ya kumpiga mtu lokapu
Uchonganishi....
hahahhhaa ndo kazi inayonipa posho ukichepuka labda nisikuone lol
Kuna sehemu umesema huna hela naomba nianze na wewe au tengua kauli yako
Uzuri wanajua kuwa hapa mwanzo mwisho ligi
hahahahha na kila unavyowachuja wanaibuka kama uyoga heri mie mama yako nina mmoja tu lol
je hana hela mapenzi na njaa hapa amunamiss chagga umeishamwambia kama uko single and available,or married or single and searching??
Muweke wazi mapema
Huyu anaonekana yuko serious sio kama yule mwingine!Maana alishafungua uzi mbili tofauti hapa akitafuta mke wa kuoa na inavyoonekana ni hajapata!Hahahaaa changamkia fursa hiyo miss chagga,kijana mwenyewe msomi kutoka chuo kikuu na pia mjasiriamali!
Mwambie dad wako utafiti
Ole wako...
sasa milioni 13 kwa mwezi utasema ni hela? au labda wewe hela unamaanisha sh ngapi kwa muda gani?
Hahahahahahaaaa Tized uko Wapi ndugu yng? OLESAIDIMU maneno Yako yanatimia Mkuu!
HANDSOME POCHI YAKO MWENYEWE MBEBAJI!
Naaam. Juzi, jana na Leo kaka.
Makubwa haya ndugu yangu. Ng'ombe tupa kule... Vi-laki laki na vi-milioni uchwara vya yule mzee wa miamba alivyokua anahongea navyo chali. Kweli Pochi ndo handsome Mr Rocky mbebaji tu. Kumbe malipo hapa hapa duniani eeh? ila hii imekuwa mno fasta.