linauzika wapi?
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
:behindsofa:
miss chagga nyota ya jaha hiyo imekuangukia
cc Ntuzu, Tized, muuza ubuyu
hahahaha miss chagga na gwijimimi utamwachia nani
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
:behindsofa:
miss chagga nyota ya jaha hiyo imekuangukia
cc Ntuzu, Tized, muuza ubuyu
wana-JF habari,
Kwa ufupi kila nisomapo post za miss chaga napatwa na msisimko wa ajabu na kutokea kumpenda bila sababu za msingi. Ila nikiwa nae nitapata maendeleo kwa kasi maana nahisi katumia Id ya miss chaga kuonyesha pesa kwake ndo mpango mzima. Miss Chaga plz nifanye niwe mfungwa wa maisha kwenye gereza la moyo wako!
Hawa mamisi, miss chagga na miss neddy wanasoko kubwa eeh!!
nina kicosta nitawaweka wote... ila hawaruhusiwi kuingia na kifaa chochote chenye ncha kali
hahahahahahaha eli mwenye soko miss chagga lol
hahahahhaha labda uwatoe kucha na meno
Hahahahahahaaaa Tized uko Wapi ndugu yng? OLESAIDIMU maneno Yako yanatimia Mkuu!
HANDSOME POCHI YAKO MWENYEWE MBEBAJI!
we ndio unalosoko embu ona
unapenda hela sana ww
hahahahaha sa mbona sijajaza kikosta kama chako lol
siwapi chakula siku tatu wasiwe na nguvu
mimi nawaweka kwenye mchujo ni kazi lakini
nimeipenda hii.....nitalipia bilinakuja andaa na vinywaji kabisaaaa