Nampenda mchumba wangu wa zamani

Nampenda mchumba wangu wa zamani

Najuta kuolewa na mwanamume nisiye mpenda. Ni stori ndefu lakini kwa kifupi...nilikuwa na boyfriend wangu tuliyependana sana. Tulipanga kuoana na barua ya posa alishaleta kwetu. mchumba wangu muda huo alikuwa anasoma chuo kikuu na mimi nilikuwa form six. Baadae nilisikia kuwa mchumba wangu ana mahusiano na binti mmoja ambapo baadae ikasemekana alimpa mimba na kisha kuzaa mtoto wa kiume. Nilipo muuliza alikana kutembea na mwanamke huyo na alikataa kuwa mtoto si wake. Lakini kadiri siku zilivyoenda palionekana kila dalili kuwa mtoto ni wake kwani walifanana sana. Kwa hasira nikaamua kumwacha nami nikatafuta mwanamume nizae naye kulipiza kisasi. Ingawa ulikuwa uamuzi mgumu kwangu nikazaa na mvulana mmoja ambaye kusema ukweli sikumpenda kama mchumba wangu. Nikiwa mjamzito yule mchumba wangu aliniomba tuendelee na mahusiano kwa lengo lile lile la kuoana. Mchumba angu hakujali sana kile kitendo cha kupata mimba. Na tuliendelea uhusiano wetu kama kawaida ila safari hii nikiwa na waume wawili tena wanaofahamiana.
Mwanamume huyu wa sasa kwa kuhofia kunyang'anywa mke alipeleka barua fasta kwa wazazi na taratibu za kufunga ndoa zilianza mara. Mpaka sasa nimefunga ndoa kanisani na mwanamume huyu nisiyempenda na nina watoto wawili. Mchumba angu aliamua kumuoa yule mwanamke na amezaa naye jumla ya watoto watatu ila hajafunga ndoa akidai ananisubiri mimi niamue lini tutaoana, huku akijua nimefunga ndoa. Kwani naye anasema hampendi mwanamke anayeishi naye. Kwa upande mwingine wazazi na ndugu wa mchumba wangu hawampendi mke wake , wakati wazazi na ndugu zangu hawampendi mume wangu. Hivyo nipo dilema. Lakini ukweli ni kwamba mimi ninampenda zaidi sana mchumba wangu wa zamani na hapa nilipo nina mimba yake na ninatarajia kujifungua hivi punde. Natarajia baada ya kujifungua nianze ukurasa mpya na man of my dream........ Kama kuna ushauri wowote nitashkuru sana

Fanya unavyojisikia lakini kumbuka kuwa . . .
Mkataa pema pabaya panamwita!
 
shida munaweka hasira na hisia nini matokeo...lakin akil na maarifa vingetawalaaaaaaaaa?wakristo awana mitalaaa kumbuka viapo vya kanisani ...kama nitakupendaaa nitaambatana nawe katika shida na rahaa mpaka maut itakapowatenga tisa kumi mnasema kulingana na amri takatufu ya mungu ulitoa ahad kwa mumeo ambaye leo umpendi halafu..mchungaji akasema aliye waunganisha mungu mwanadamu asiwatenganishee..je unakumbuka ayo???kama unaofu ya mungu bas dumu na mumeo.....acha kubomoa nyumba yako.....tafakarii ebu sikiliza wimbo wa luckdube uosema itz not easy to understand....kaaa chini kumbuka siku ya ndoa yenu kanisan....:madgrin::madgrin::madgrin::madgrin:
 
mnh huyo mchumba wa zamani hana msimamo nae......wewe unasameheka at least sometimes wanawake tunatawaliwa na hormones na rage,ilimradi ndoa yako ya sasa haina matatizo usijaribu kuivunja kwa sababu za kipuuzi.......jamvi usilolikalia hujui kunguni wake.....cheza pata potea na ndoa yako,halafu huyo mchumba wa zamani asimwache mchumba wake atake kuwamiliki wote wawili and you end up being frustrated than before.:nimekataa:nimekataa
 
Sijawahi kuona viumbe hatari kama nyinyi na huyo mchumba wako. Kwa vile wewe uliamua kuolewa na mtu ambaye hukumpenda ukidhani unamtumia kumkomoa huyo mchumba wako, basi hutafanikiwa. Mtaendelea kunyonyana damu kiwizihicho tu ndicho majaaliwa yenu. Mlipata nafasi mkaichezea sasa mnatuletea uoza kama huu tuwashauri nini? Mlishavuruga sana msivuruge tena hasa mkizingatia hao watoto mliokwishapata. Tulia na huyo uliye naye ujifunze kumpenda. Ingawa mimi si mkabila je mwatokea kule Mlima mrefu nini ambako ukabila una matter sana na kuendekeza mambo kama hayo mnayofanya? Imekula kwako na kwake.
Najuta kuolewa na mwanamume nisiye mpenda. Ni stori ndefu lakini kwa kifupi...nilikuwa na boyfriend wangu tuliyependana sana. Tulipanga kuoana na barua ya posa alishaleta kwetu. mchumba wangu muda huo alikuwa anasoma chuo kikuu na mimi nilikuwa form six. Baadae nilisikia kuwa mchumba wangu ana mahusiano na binti mmoja ambapo baadae ikasemekana alimpa mimba na kisha kuzaa mtoto wa kiume. Nilipo muuliza alikana kutembea na mwanamke huyo na alikataa kuwa mtoto si wake. Lakini kadiri siku zilivyoenda palionekana kila dalili kuwa mtoto ni wake kwani walifanana sana. Kwa hasira nikaamua kumwacha nami nikatafuta mwanamume nizae naye kulipiza kisasi. Ingawa ulikuwa uamuzi mgumu kwangu nikazaa na mvulana mmoja ambaye kusema ukweli sikumpenda kama mchumba wangu. Nikiwa mjamzito yule mchumba wangu aliniomba tuendelee na mahusiano kwa lengo lile lile la kuoana. Mchumba angu hakujali sana kile kitendo cha kupata mimba. Na tuliendelea uhusiano wetu kama kawaida ila safari hii nikiwa na waume wawili tena wanaofahamiana.
Mwanamume huyu wa sasa kwa kuhofia kunyang'anywa mke alipeleka barua fasta kwa wazazi na taratibu za kufunga ndoa zilianza mara. Mpaka sasa nimefunga ndoa kanisani na mwanamume huyu nisiyempenda na nina watoto wawili. Mchumba angu aliamua kumuoa yule mwanamke na amezaa naye jumla ya watoto watatu ila hajafunga ndoa akidai ananisubiri mimi niamue lini tutaoana, huku akijua nimefunga ndoa. Kwani naye anasema hampendi mwanamke anayeishi naye. Kwa upande mwingine wazazi na ndugu wa mchumba wangu hawampendi mke wake , wakati wazazi na ndugu zangu hawampendi mume wangu. Hivyo nipo dilema. Lakini ukweli ni kwamba mimi ninampenda zaidi sana mchumba wangu wa zamani na hapa nilipo nina mimba yake na ninatarajia kujifungua hivi punde. Natarajia baada ya kujifungua nianze ukurasa mpya na man of my dream........ Kama kuna ushauri wowote nitashkuru sana
 
I'm very sorry to say this lakini wewe dada huna tofauti na Adolf Hitler kwenye mapenzi. Hebu rudi kwenye holy book uliyotumia kula kiapo pale kanisani urudie tena yale maneno taratibu taratibu kama 5 times halafu unijibu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wewe ni kati ya watu wajinga na bado hujajitambua...
Anza kwa kujitambua kwa ndio angalau tutakushauri...
Unachotaka hapa ni kutafuta tu haki na kujipa moyo wa kurudiana na huyo ulomwita mchumba wa zamani...
Unachotaka kufanya si sahihi, lakini sikushangai sana maana hata hapo awali umeshabainisha kufanya maamuzi mwawili kimakosa na makusudi.
1. Kupata mimba eti kulipa kisasi.
2. Kuolewa na mtu usiyempenda na hapa kutuongopea kuwa alileta posa kumzidi mwenzie.
 
first and final impression: hii ni stori ya kutunga ili ku-attract attention, period. polee!!
 
Dada yangu nakushauri tu ya kwamba acha kuwa na tamaa ya fisi ya kumfuata binaadamu nyuma akiamini kwamba mkono utaanguka na hivyo kupata nyama/mfupa.

In short una makosa mengi sana umeyafanya na bado unaendelea kuyafanya na kweli ukiendelea kuuendekeza moyo wako na kufanya vile utakavyo, mwisho wako hautakuwa mzuri (Aibu yako ipo karibu) kwani hakika kawaida moyo humuamrisha mtu kufanya maovu/mabaya.

Nikuulize swali dogo tu:
Katika maelezo yako yote sikuona hata sentesi moja ambayo imeeleza ubaya wa mumeo uliyenae zaidi ya kusema tu humpendi na ndugu zako wanamchukuia. Nina wasiwasi chuki hii ya nduguzo kwa mmeo, itakuwa pia imetokana na wewe ili uweze ku-justify mambo yako.

Mwisho: Jiheshimu bidada na mheshimu mmeo na linda heshima ya watoto wako na familia yako pia
 
mwanamke mpumbavu huaribu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. huo mkorogano na mchanganyiko unatuletea JF ili tukushauri nini? mke wa mtu na mume wa mtu wakati mnagegedana mbona huku-post topic yako humu JF kuwa mko lodge fulani mnagegedana so unaomba ushauri? hata haya huna mwana wee...
 
We tend to forget the law of harvest which says that we reap what we sow. Umeshaolewa na kuzaa badon unaangalia namna ya kurudi nyuma, tena kwenye very complicated situation. Maisha mbona hayakusubiri wewe yanaendelea. If you try to do that you will waste your time and at the end you will waste the value of your life too.
 
Unafikiri huyo so called MUME ANAYEKUPENDA ,ANAYEPENDWA NA NDUGU,ATAKUTHAMINI KWELI?acha kuvuruga maisha yako,tulia ulee watoto wako na mume wako wa ndoa,muheshimu sana,fwata maandiko ya Mungu ,sali sana na focus ya familia zaidi,haswa na watoto,rudisha moyo nyuma.
 
Wewe Palm Girl akili yako haina akili kabisaaaaaaaaaaa, na kisha unatudhalilisha wanawake woteeeeeeeeee kwamba hatuna akili ya kufikiria, kumbe ni wewe pekee. Kwa kweli umenishangaza sana , kwa maneno yako.ngoja nikwambie kitu huyo mchumba unayempenda ni kwamba yeye hakupendi ng'ooooooo!!! kwa sababu angekuwa anakupenda asingekwenda kuzaa nje, yeye anachotaka ni kwamba wewe uachwe na huyo mumeo pindi atakapokuja kufahamu una mahusiano na huyo mchumba wa zamani mumeo kwa vyovyote vile atachukia na atakuacha.Kumbuka kuwa una watoto wako wawili wazuri ambao Mungu amekubariki ukawapata ndani ya ndoa, Embu fikiria maisha yao pindi utakapo achwa na Baba yao( Mumeo) wataishije?Na Huyo Mchmba wako wa zamani sidhani kama atamuacha Mwanamke aliyezaa naye watoto 3 , aje akurudie wewe mwenye watoto 2 , ukijumlisha na huyo anayekuja watakuwa 6, je atakuwa na uwezo wa kuwasomesha wote? na je atawapenda watoto wako kwa upendo kama baba yao anavyowapenda sasa?tatu je umeshamwambia huyo mchumba wako wa zamani kuwa una mimba yake,? kama ndiyo hicho ndcho kitakuwa kigezo cha kuja kukuharibia Ndoa yako pindi atakaposhindwa kukutoa humo ndani.Nakuomba kabla ya kufanya maamuzi ambayo yatakugharimu wewe na watoto ambao hawana hatia, PLS embu fikiria kwanza kabla ya hayo maana itakugharimu katika maisha yako yoteee !!!! UTAJUTA KUZALIWA MWANAMKE!!!!!!"MWANAMKE MJINGA HUVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE"
 
Najuta kuolewa na mwanamume nisiye mpenda. Ni stori ndefu lakini kwa kifupi...nilikuwa na boyfriend wangu tuliyependana sana. Tulipanga kuoana na barua ya posa alishaleta kwetu. mchumba wangu muda huo alikuwa anasoma chuo kikuu na mimi nilikuwa form six. Baadae nilisikia kuwa mchumba wangu ana mahusiano na binti mmoja ambapo baadae ikasemekana alimpa mimba na kisha kuzaa mtoto wa kiume. Nilipo muuliza alikana kutembea na mwanamke huyo na alikataa kuwa mtoto si wake. Lakini kadiri siku zilivyoenda palionekana kila dalili kuwa mtoto ni wake kwani walifanana sana. Kwa hasira nikaamua kumwacha nami nikatafuta mwanamume nizae naye kulipiza kisasi. Ingawa ulikuwa uamuzi mgumu kwangu nikazaa na mvulana mmoja ambaye kusema ukweli sikumpenda kama mchumba wangu. Nikiwa mjamzito yule mchumba wangu aliniomba tuendelee na mahusiano kwa lengo lile lile la kuoana. Mchumba angu hakujali sana kile kitendo cha kupata mimba. Na tuliendelea uhusiano wetu kama kawaida ila safari hii nikiwa na waume wawili tena wanaofahamiana.
Mwanamume huyu wa sasa kwa kuhofia kunyang'anywa mke alipeleka barua fasta kwa wazazi na taratibu za kufunga ndoa zilianza mara. Mpaka sasa nimefunga ndoa kanisani na mwanamume huyu nisiyempenda na nina watoto wawili. Mchumba angu aliamua kumuoa yule mwanamke na amezaa naye jumla ya watoto watatu ila hajafunga ndoa akidai ananisubiri mimi niamue lini tutaoana, huku akijua nimefunga ndoa. Kwani naye anasema hampendi mwanamke anayeishi naye. Kwa upande mwingine wazazi na ndugu wa mchumba wangu hawampendi mke wake , wakati wazazi na ndugu zangu hawampendi mume wangu. Hivyo nipo dilema. Lakini ukweli ni kwamba mimi ninampenda zaidi sana mchumba wangu wa zamani na hapa nilipo nina mimba yake na ninatarajia kujifungua hivi punde. Natarajia baada ya kujifungua nianze ukurasa mpya na man of my dream........ Kama kuna ushauri wowote nitashkuru sana

Duuh..........nafahamu kuna wapumbavu lakini wewe ni bosi wao.............namuonea huruma sana mume wako. Haya endelea kubomoa ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe.
 
stupidy, yani wewe ni mwanamke mshenzi kuliko mwanamke yoyote niliyepata kumsikia,unasifa zote mbaya mbinafsi ikiwa ni kubwa hufikirii hata hisia za mwenzako wa kwanza ulimwacha coz ya ubinafsi,sasa tena ubinafsi unakutuma,nenda kaombewa a stupidy woman,unaishi ka hapa venezuela au umeandika tamthiliya. wakati unakula kiapo kanisani ulikuwa unafikiri unaapa kwa shemeji zako,so stupidy
 
Angekuwa karibu ningemtemea mate, hovyo kabsaaaa....
Nikikuita mjinga sjui nitakuwa nimekosea.
Una watoto wawili na bado akili yako inayumbishwa na moyo. Mpumbavu hujali nafsi yake tu watoto anasahau.
Hivi hao watoto wako wawili unataka wahangaike kwa sababu ya moyo wako kwa mtu mwingine?

Mwanaume gani huyo mjinga atakayekubali kuishi na mke aliyevunja ndoa yake, akaja na watoto wake 2 kujumlisha na wa kwake wanakuwa watano!!

Akili yako inakwenda mbele au kurudi nyuma?
 
unataka watu wabariki uzinzi, mshenzi mkubwa wa mwaka 2013 ulietokea mwanzo wa mwaka
 
Nikikuita mjinga sjui nitakuwa nimekosea.
Una watoto wawili na bado akili yako inayumbishwa na moyo. Mpumbavu hujali nafsi yake tu watoto anasahau.
Hivi hao watoto wako wawili unataka wahangaike kwa sababu ya moyo wako kwa mtu mwingine?

Mwanaume gani huyo mjinga atakayekubali kuishi na mke aliyevunja ndoa yake, akaja na watoto wake 2 kujumlisha na wa kwake wanakuwa watano!!

Akili yako inakwenda mbele au kurudi nyuma?

Watoto 6. Maana anasema ni mjamzito... Kweli hapa si ushauri, ni maombi, kazi ipo tena kubwa.
 
Back
Top Bottom