Nampenda mchumba wangu wa zamani

Nampenda mchumba wangu wa zamani

Nihakikishie usalama wangu kwanza.
Napenda kuchukua zawadi around saa 7 hadi saa 9 usiku....!

umekua bias hadi nimeogopa kukupa zawadi,zawadi gani hiyo ya kuchukuliwa usiku mmmh...........................
 
Usiku mtulivu hakuna kelele
Raha iliyoje kwa hamasa tele
Naisubiri kwa hamu usiku mwemwelee
 
Tuliza akili fanya mambo ya maana. Maisha ni zaidi ya kubeba mimba na kufanya mapenzi. Kaa chini tulia fanya mambo ya maana na sii kumfikiria wa zamani.
 
nimeahirisha mkuu.

Nitasononeka usiku mzima......Umeujeruhi moyo wangu vibaya.
Sijui nikueleze vipi ujue nilivyopata mstuko.......hapa natamani ardhi ipasuke niingie.

Maisha nayaona hayana maana tena kwangu. Sijui nifanye nini ili nipone..........Nikitazama Avatar yako tu huzuni kuu inaniandama.

Najua una moyo ulioumbwa kwa mintarafu ya kheri na si shari.
Natambua mbubujiko wa hekima na huruma ulionao. Tafadhali usifanye hivyo.
 
pole yako,no wayout.
 
Jamani huyu dadaaa anaomba ushauri mbona mmemuchakachua!!
Dada yetu! Wewe sikiliza moyo wako unavyokushauri,alafu cku unafunga ndoa ulitakiwa umkane huyo mmeo!kwani ulikuwa humpendi tangiapo!
 
ndo maana unashindwa kufanya maamuzi ya busara ukidhani we bado mtoto wakati umeshakomaa kabisa,kilichokuharakisha kuingia kwenye ndoa ndo uvumilie sio kukaa unatolea waume za watu macho,tena umkome mume wa mtu kama ndoa yako imekushinda usivunje na ya mwenzio, we umeolewa lakini kiguu na njia kutafuta umbea kwamba wakwe hawampendi mke wa hawala yako badala ya kutafakari maisha yako na watoto hapo baadae itakuaje kama sio kihelehele kinachokusumbua ni nini?
well said!!!
 
inaonekana kama mmekutana watu 3 msiojitambua.....sorre watu 2 msiojitambua wala kujielewa........

Sijui mnadhani ndo ni kuvaa shela na kuchangisha watu michango......

Fanya vile uonavyo ni vyema, ni maisha yako na majuto yatakuwa yako pia
 
Nihakikishie usalama wangu kwanza.
Napenda kuchukua zawadi around saa 7 hadi saa 9 usiku....!

umekua bias hadi nimeogopa kukupa zawadi,zawadi gani hiyo ya kuchukuliwa usiku mmmh...........................

Usiku mtulivu hakuna kelele
Raha iliyoje kwa hamasa tele
Naisubiri kwa hamu usiku mwemwelee

aisee kumbe kuna chata hapa ndani sio za kuahidiana nazo zawadi,yamekua hayo tena.

Mbona muoga sana bibie Asnam.......Basi chagua wewe muda na Venue

nimeahirisha mkuu.

Nitasononeka usiku mzima......Umeujeruhi moyo wangu vibaya.
Sijui nikueleze vipi ujue nilivyopata mstuko.......hapa natamani ardhi ipasuke niingie.

Maisha nayaona hayana maana tena kwangu. Sijui nifanye nini ili nipone..........Nikitazama Avatar yako tu huzuni kuu inaniandama.

Najua una moyo ulioumbwa kwa mintarafu ya kheri na si shari.
Natambua mbubujiko wa hekima na huruma ulionao. Tafadhali usifanye hivyo.

pole yako,no wayout.

Najua hujawahi hata kuua panya....vipi kumtendea binadamu mwenzako hivi

hahahaha kama kuku namchanja mwenyewe sembuse huyo panya,nina roho ngumu kichizi.

Dah . . .
Wakuu mlijisahau ama??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom