Nampenda mchumba wangu wa zamani

Nampenda mchumba wangu wa zamani

hivi ulishafikilia hatma ya hao watoto watano watakao ishi bila wazazi wote wawili ACHA kuendeleza makosa yatakayo athiri maisha ya wengine kwa Tamaa za mioyo yenu!!! kwa stahili hizi ndio naacha kuamini kuna mapenzi yakweli
 
Hicho ni kitendawili mdogo wangu aisee pole sana.
Wengi yamewakuta haya.na kuyapatia ufumbuzi imekuwa vigumu sana.
Maana wanaume na wanawake baadhi yetu hatujui ukweli kabisa.
Utakuta mtu anakudanyanya lakini ukiachana na mme au mkeo humuoni tena.

Pia mapenzi yamekuzidia adi umefikia hatua ya kudharau mme wako wa ndoa.
na kuamua kubeba ujauzito wa mwanaume mwingie.hilo umekosea ungebeba ujauzito pindi ume devorce.
lakini mapenzi ni ukichaa flani hivi haswaa kwa unae mpenda.

Ndoa nyingi zimekuwa na migogoro sana.japo hatuwezi kuzivunja.
unapata mme/mke ambae unakuja kujua mwisho wa siku hamuendani.
hili ni tatizo la usiri wa mambo yetu sisi waswahili anajifanya malaika kumbe upande wa pili.....
Jamii zetu hasa za kikristu haziruhusu kuvunja ndoa.hilo ni tatizo kubwa.
inatupelekea kuhishi maisha ya kuigiza tu.

Nakushauri ongea na mwenzio mchukue hatua bado mapema kama mnavunja ndoa zetu.
Muishi maisha ya amani na upendo.japo ni vigumu sana kuamua kwa kuhofia jamii inayo kuzunguka na mfumo wa maisha yetu.
 
hata ukiongea na mumeo utamuumiza kwa kumwambia umebeba mtoto wa mwanaume wa nje ya ndoa,usha sikia kule mara mwanaume ameua mke na watoto wote,usicheze na moyo wa mwenzako ka kimya mwombe MWENYEZI MUNGU akuondolee shetani uliyenae kwani asha kuzidi nguvu
 
Uko siriaz kweli na maisha yako na wanao? Vilevile moyo wako nao huutendei haki! Hadi unapanda madhabahuni ulijua kabisa unaweka agano mbele ya Mungu kumbe unamchit had Muumba? Tulia na huyo unayedai humpendi tena utulie vema
 
Najuta kuolewa na mwanamume nisiye mpenda. Ni stori ndefu lakini kwa kifupi...nilikuwa na boyfriend wangu tuliyependana sana. Tulipanga kuoana na barua ya posa alishaleta kwetu. mchumba wangu muda huo alikuwa anasoma chuo kikuu na mimi nilikuwa form six. Baadae nilisikia kuwa mchumba wangu ana mahusiano na binti mmoja ambapo baadae ikasemekana alimpa mimba na kisha kuzaa mtoto wa kiume. Nilipo muuliza alikana kutembea na mwanamke huyo na alikataa kuwa mtoto si wake. Lakini kadiri siku zilivyoenda palionekana kila dalili kuwa mtoto ni wake kwani walifanana sana. Kwa hasira nikaamua kumwacha nami nikatafuta mwanamume nizae naye kulipiza kisasi. Ingawa ulikuwa uamuzi mgumu kwangu nikazaa na mvulana mmoja ambaye kusema ukweli sikumpenda kama mchumba wangu. Nikiwa mjamzito yule mchumba wangu aliniomba tuendelee na mahusiano kwa lengo lile lile la kuoana. Mchumba angu hakujali sana kile kitendo cha kupata mimba. Na tuliendelea uhusiano wetu kama kawaida ila safari hii nikiwa na waume wawili tena wanaofahamiana.
Mwanamume huyu wa sasa kwa kuhofia kunyang'anywa mke alipeleka barua fasta kwa wazazi na taratibu za kufunga ndoa zilianza mara. Mpaka sasa nimefunga ndoa kanisani na mwanamume huyu nisiyempenda na nina watoto wawili. Mchumba angu aliamua kumuoa yule mwanamke na amezaa naye jumla ya watoto watatu ila hajafunga ndoa akidai ananisubiri mimi niamue lini tutaoana, huku akijua nimefunga ndoa. Kwani naye anasema hampendi mwanamke anayeishi naye. Kwa upande mwingine wazazi na ndugu wa mchumba wangu hawampendi mke wake , wakati wazazi na ndugu zangu hawampendi mume wangu. Hivyo nipo dilema. Lakini ukweli ni kwamba mimi ninampenda zaidi sana mchumba wangu wa zamani na hapa nilipo nina mimba yake na ninatarajia kujifungua hivi punde. Natarajia baada ya kujifungua nianze ukurasa mpya na man of my dream........ Kama kuna ushauri wowote nitashkuru sana

si bure mtakuwa na matatizo ya akili nyie
 
unajua wewe huna hofu na mungu
yanii unakula kuapo kanisani afu unakuja kutumwagia povu apa
mwenzio mjanja hajaoa anajya maana ya ndoa
afu unaonekana unautoto flani
kwa ufupi saliti iyo ndoa ndo ujue bakora ya dunia
mxiuuuuu
......
 
sasa ushauriwe nini tena wakati umeapa kanisani mbele ya mashahidi wote kwamba for better or for worse? enhhh...
navyofahamu mimi kwamba mwanamke anampenda mwanaume akishaolewa..niliambiwaga kuna philosophy gani sijui kwa watu waliosoma education wanaijua kwa hapa nimeisahau...somo la kujifunza hapa..hasira ni hasara hupaswi fanya maamuzi unapokua na hasira inabidi utulie..daaah ila dizain unashangaza..kimtindo..nimemaliza
 
Hii tamthilia ni 'woman of Steel" au 'storm in paradise'?
 
Najuta kuolewa na mwanamume nisiye mpenda. Ni stori ndefu lakini kwa kifupi...nilikuwa na boyfriend wangu tuliyependana sana. Tulipanga kuoana na barua ya posa alishaleta kwetu. mchumba wangu muda huo alikuwa anasoma chuo kikuu na mimi nilikuwa form six. Baadae nilisikia kuwa mchumba wangu ana mahusiano na binti mmoja ambapo baadae ikasemekana alimpa mimba na kisha kuzaa mtoto wa kiume. Nilipo muuliza alikana kutembea na mwanamke huyo na alikataa kuwa mtoto si wake. Lakini kadiri siku zilivyoenda palionekana kila dalili kuwa mtoto ni wake kwani walifanana sana. Kwa hasira nikaamua kumwacha nami nikatafuta mwanamume nizae naye kulipiza kisasi. Ingawa ulikuwa uamuzi mgumu kwangu nikazaa na mvulana mmoja ambaye kusema ukweli sikumpenda kama mchumba wangu. Nikiwa mjamzito yule mchumba wangu aliniomba tuendelee na mahusiano kwa lengo lile lile la kuoana. Mchumba angu hakujali sana kile kitendo cha kupata mimba. Na tuliendelea uhusiano wetu kama kawaida ila safari hii nikiwa na waume wawili tena wanaofahamiana.
Mwanamume huyu wa sasa kwa kuhofia kunyang'anywa mke alipeleka barua fasta kwa wazazi na taratibu za kufunga ndoa zilianza mara. Mpaka sasa nimefunga ndoa kanisani na mwanamume huyu nisiyempenda na nina watoto wawili. Mchumba angu aliamua kumuoa yule mwanamke na amezaa naye jumla ya watoto watatu ila hajafunga ndoa akidai ananisubiri mimi niamue lini tutaoana, huku akijua nimefunga ndoa. Kwani naye anasema hampendi mwanamke anayeishi naye. Kwa upande mwingine wazazi na ndugu wa mchumba wangu hawampendi mke wake , wakati wazazi na ndugu zangu hawampendi mume wangu. Hivyo nipo dilema. Lakini ukweli ni kwamba mimi ninampenda zaidi sana mchumba wangu wa zamani na hapa nilipo nina mimba yake na ninatarajia kujifungua hivi punde. Natarajia baada ya kujifungua nianze ukurasa mpya na man of my dream........ Kama kuna ushauri wowote nitashkuru sana

Enyi wanawake,

Upumbavu mwigine naomba uwe unakua siri yenu....

Tunakatishana tamaa ya kuoa bana.......kama akili zenu ndo zipo hivi.....??

kazi tunayo wanaume huku duniani,,,,,,,,
 
Ndo maana bado tupo tupo kutokana na uj.ing.a kama huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom