Nampenda mamdenyi na miss chaga

Sawa nimekusikia I'll try my level best to be around πŸ™‚πŸ™‚ usikose mchapo wa kukata na shoka Jumapili 7.00pm EAT.

Ok poa ngoja niisave hii akilini maana nilivyomsahaulifu?
 
Reactions: BAK
nmeona humu kuna wadada ambao wana hekima mfano hawo niliowataja natamani wangekuwa wapenzi wangu

Sahau ndugu yangu hao wadada japokua ni dada zangu lakini wana akili sana na mwana mke akishakua hivyo biblia inasema ni bora ukaishi darini kama panya kuliko kua na mwanamke kama hao, kingine walishaolewa wote hao
 

Tunatishana sasa ujue Mkuu. Mi nimesema natafuta mchaga wa kuoa halafu wewe unaleta sifa hizi kweli...!!!!πŸ˜•πŸ˜• huyo miss chaga anaongea balaa...!!! Kweli kupenda shida. Yaani jamaa kamzimia hadi miss chaga...!!!!:what::what: kazi ipo mwaka huu....!!!!!😑😑
 

Sure your Kilaza!
 
Last edited by a moderator:
Aisee dada una majibu ya kejeli.

Btw, asante, maybe angekuwa mwenyeji ungemjibu vizuri.

Sorry kwa usumbufu.

Mie mwenyeji kuliko wewe, pole kwa majibu ya kejeli next time simamisha bendera ya Tz(amani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…