Eng ibird
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 707
- 1,025
Jarbu bahat yako lbd ndo mlango wa mafankioKaka hii kauli imekaa kibabe Sana Wengine laana na wengine Baraka
Jarbu bahat yako lbd ndo mlango wa mafankioKaka hii kauli imekaa kibabe Sana Wengine laana na wengine Baraka
Kama unajiamini na pambana ukiwa naye mpaka kieleweke...ukiamua arudi kwao ndio imeisha hiyo usimiwazie sana ila endelea kupambana uweke maisha yako sawa utoke hapo kwa wazazi....ndio unakua sasaSahihi mkuu, Acha nipambane.. lakini kwa wakati huu nifanye Nini mkuu? Nimtafute nauli au nikomae nae tu?
Hahahaaa, Brother sihofii kuhusu utelezi na mbususu ya bure, niliamua kupiga chini manzi wangu wakali ili nimfanye huyu binti kuwa mke, Huyu binti Ana sofa Zote za kuitwa mke, ndio maana nilitaka niwe naeHebu msaidie nauli mtt wa watu arudi kwao acha kuamua kwa kutumia nyege zako ,najua kuna ugumu maana ma beki tatu huwa wanatoa mbususu for free sasa utakua unawaza akisepa na ww huna kaz mbususu za kulipia utaziweza
27 sahihi, lakini nahisi nimechelewa hata kuwa na mtoto, kuwa na permanent relationship ya kufanya maisha.. kifupi kumpata mwanamke wa Viwango vya huyu binti Ni nadra Sana hapa mjini niliwaza hili lakini Ugumu wa maisha nadhani utaniachanisha naeMy son inakupasa uwe very determined na maisha kiasi ya kwamba usiyape nafasi mapenzi. Ukiachana nae utakua Safe side zaidi
Wewe ni 27yrs old sasa sio 26 huu ni mwisho wa mwaka
Kuhusu vitu vya ndani tayari ninavyo, Kitanda, Godoro, Sofa na vingine vidogo vidogo, Ishu Ni kwamba tu Sina mchongo wa uhakika wa kunifanya Ni survive na mtoto wa mtuVuta mali ndani itakufungua akili hio na ukitaka kununua vitu usinunue godoro kwanza anza na kitamda ili ukilala chaga zikuumize upambanie godoro
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😂 we jamaa acha kijiti!Unaposema huna maisha kwani umekufa ? ...Pambana kijana ambao hawana maisha wapo futi sita chini
😂😂😂😂😂😂😂😂 mbususu ya “Duty Free” inayeyaaaa!Hebu msaidie nauli mtt wa watu arudi kwao acha kuamua kwa kutumia nyege zako ,najua kuna ugumu maana ma beki tatu huwa wanatoa mbususu for free sasa utakua unawaza akisepa na ww huna kaz mbususu za kulipia utaziweza
Mkuu tusiingiliane kweny mambo ya msingii...mimi nishabook tayarKama ni wa huku Mwanza na ukimwachia arudi huku na akanikuta mimi mjuba, mkulungwa jobless mwenzio hesabu maumivu yaani umekwisha, namaanisha you have kwishney..
Dada au kwenu hamuhitaji msaidizi wa ndani?Wakuu Habari za muda huu, Niende moja kwa moja kwenye mada.
Hii inanihusu Mimi mwenyewe na hapa Nawaza na kuwazua na sipati jibu sahihi, Nachanganyikiwa.
Mimi Ni kijana mwenye miaka 26, Elimu yangu Ni kidato Cha Sita na pia nilisoma Certificate in Clearing and Forwarding, Naishi Dar kwa Wazazi Ila nakaa chumba Cha nje Cha Peke angu,
Kwa muda Sasa nilikua nikitamani kuwa na familia, Yani mke na mtoto, ukizingatia rafiki zangu karibu wengi Wana maisha Yao na familia zao, niliwahi kuajiriwa lakini kwa Sasa Sina Kazi ya uhakika nadandia tu mishe yeyote itakayokuja mbele yangu.
Sasa Kuna huyu binti, mtoto wa Kanda ya ziwa, mzuri, binti mdogo miaka 20(Asomi) alikua akifanya Kazi za usaidizi za ndani, Muuni nikamuelewa nikaanzisha mahusiano nae, baada ya miezi kadhaa mwajiri wake akayumba Kiuchumi na kumuachisha Kazi,
Binti Hana ndugu mjini, kwao Ni mbali na maisha ya kwao pia wanamuangalia yeye ndio mwokozi wao, Kimsingi binti ananipenda na Mimi pia Nampenda na ndio msichana ninaetamani kuishi nae na kutengeneza familia.
Tatizo linakuja hapa, Mimi Jobless, kula kwa kengele japo sio kila siku kwasababu nikiwa na mishe zangu napenda kujitegemea kuliko kusumbua home, huyu mtoto wa watu nataka kumsaidia, nataka asiwe mbali na Mimi kusudi Mambo yangu yaki tiki niishi nae,
Kwa Sasa nimemuombea hifadhi kwa Dada yangu japo ya siku kadhaa na tayari Nina siku tano tu mbele za kujua hatma yake.
Nawaza nifanye Nini?? Nimtafutie nauli arudi kwao?? Nikae nae kibishi, atakula Nini? Ana mahitaji mtoto wa kike na Mimi Ni hohe have?? Naomba ushauri wakuu.
Natanguliza Shukrani.
Huu ushauri wa kiutu uzima kabisaMtaftie nauli arudi kwao ndo kitu pekee utachomsadia kwa Sasa
Unakula kwa shkamoo usiongeze changamoto nyumbani
Jambo ilo likutie nguvu uanze MWAKA kwa kasi
Mungu akubariki
Dar mbn issue ni nyingi za kufanya alafu nilicho gundua watu wa Dar niwabunifu balaa yaani mguu wa kuku unasokomezwa kwenye kichwa cha kuku kinauzwa jeroWakuu Habari za muda huu, Niende moja kwa moja kwenye mada.
Hii inanihusu Mimi mwenyewe na hapa Nawaza na kuwazua na sipati jibu sahihi, Nachanganyikiwa.
Mimi Ni kijana mwenye miaka 26, Elimu yangu Ni kidato Cha Sita na pia nilisoma Certificate in Clearing and Forwarding, Naishi Dar kwa Wazazi Ila nakaa chumba Cha nje Cha Peke angu,
Kwa muda Sasa nilikua nikitamani kuwa na familia, Yani mke na mtoto, ukizingatia rafiki zangu karibu wengi Wana maisha Yao na familia zao, niliwahi kuajiriwa lakini kwa Sasa Sina Kazi ya uhakika nadandia tu mishe yeyote itakayokuja mbele yangu.
Sasa Kuna huyu binti, mtoto wa Kanda ya ziwa, mzuri, binti mdogo miaka 20(Asomi) alikua akifanya Kazi za usaidizi za ndani, Muuni nikamuelewa nikaanzisha mahusiano nae, baada ya miezi kadhaa mwajiri wake akayumba Kiuchumi na kumuachisha Kazi,
Binti Hana ndugu mjini, kwao Ni mbali na maisha ya kwao pia wanamuangalia yeye ndio mwokozi wao, Kimsingi binti ananipenda na Mimi pia Nampenda na ndio msichana ninaetamani kuishi nae na kutengeneza familia.
Tatizo linakuja hapa, Mimi Jobless, kula kwa kengele japo sio kila siku kwasababu nikiwa na mishe zangu napenda kujitegemea kuliko kusumbua home, huyu mtoto wa watu nataka kumsaidia, nataka asiwe mbali na Mimi kusudi Mambo yangu yaki tiki niishi nae,
Kwa Sasa nimemuombea hifadhi kwa Dada yangu japo ya siku kadhaa na tayari Nina siku tano tu mbele za kujua hatma yake.
Nawaza nifanye Nini?? Nimtafutie nauli arudi kwao?? Nikae nae kibishi, atakula Nini? Ana mahitaji mtoto wa kike na Mimi Ni hohe have?? Naomba ushauri wakuu.
Natanguliza Shukrani.

, tena hiyo ni modified maana mwaka juzi nilivyo kuja likizo nilikuta different kabisa mguu wa kuku unauzwa separate na kichwa sasa wame modify na hao ni wanaume wanapambana sasa wewe na miaka 26 bdo upo nyumbani tu mkuu?