mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,972
Hiyo nauli ya kanda ya ziwa haipungui elfu sabini,huo ni mtaji kabisa,Sahihi mkuu, Acha nipambane.. lakini kwa wakati huu nifanye Nini mkuu? Nimtafute nauli au nikomae nae tu?
Hiyo nauli ya kanda ya ziwa haipungui elfu sabini,huo ni mtaji kabisa,Sahihi mkuu, Acha nipambane.. lakini kwa wakati huu nifanye Nini mkuu? Nimtafute nauli au nikomae nae tu?
Mambo kama haya huwa hayahitaji ushauri wamtu mwingine fanya unachoamini miaka uliyonayo bado unaogopa jambo dogo hivi naamini utakachoamua ww ndio kitakuwa sahihiKweli Ni Jobless lakini ku fight na fight na yes sikosi mbili tatu, lakini kwa kumuweka ndani mzee ntachemka kabisa... Ahsante kwa ushauri pia
Tumgawanee tu hakuna namnaaHayaa
Nimekuelewa mkuu, Ahsante kwa UshauriHii ndio summary ya huu uzi:
Huna hela...
Huna kazi...
Huna makazi yako...
Huna uhakika wa milo mitatu kwa siku...
Unataka uwe na mwanamke ambaye hata kwao hawakutambui...
Unataka umpatie ujauzito huyo mwanamke ili uanzishe familia...
Soma kwa taratibu haya niliyoandika, usisome kwa kutumia akili bali tumia moyo, chukua muda kuyatafakari na uweke jawabu kwenye kila kimojawapo...
Mahali ambapo na Huna, jaribu kutafuta jawabu la jinsi gani Utakuwa na....
Jifunze kitu kimoja, nyumba huwa haisimami bila msingi wa kuibeba, wala mti huwa hausimami pasipo mizizi ya kuuliza...
Huyo ukimuacha aende peke yake kijijini yatakukuta yaliyomkuta kagwa, kule kuna watu wanakula ugali kilo tano na maziwa debe moja kila siku watamshona atakusahauWakuu Habari za muda huu, niende moja kwa moja kwenye mada.
Hii inanihusu Mimi mwenyewe na hapa Nawaza na kuwazua na sipati jibu sahihi, Nachanganyikiwa.
Mimi Ni kijana mwenye miaka 26, Elimu yangu Ni kidato Cha Sita na pia nilisoma Certificate in Clearing and Forwarding, Naishi Dar kwa Wazazi Ila nakaa chumba Cha nje Cha Peke angu,
Kwa muda Sasa nilikua nikitamani kuwa na familia, Yani mke na mtoto, ukizingatia rafiki zangu karibu wengi Wana maisha Yao na familia zao, niliwahi kuajiriwa lakini kwa Sasa Sina Kazi ya uhakika nadandia tu mishe yeyote itakayokuja mbele yangu.
Sasa Kuna huyu binti, mtoto wa Kanda ya ziwa, mzuri, binti mdogo miaka 20(Asomi) alikua akifanya Kazi za usaidizi za ndani, Muuni nikamuelewa nikaanzisha mahusiano nae, baada ya miezi kadhaa mwajiri wake akayumba Kiuchumi na kumuachisha Kazi.
Binti Hana ndugu mjini, kwao Ni mbali na maisha ya kwao pia wanamuangalia yeye ndio mwokozi wao, Kimsingi binti ananipenda na Mimi pia Nampenda na ndio msichana ninaetamani kuishi nae na kutengeneza familia.
Tatizo linakuja hapa, Mimi Jobless, kula kwa kengele japo sio kila siku kwasababu nikiwa na mishe zangu napenda kujitegemea kuliko kusumbua home, huyu mtoto wa watu nataka kumsaidia, nataka asiwe mbali na Mimi kusudi Mambo yangu yaki tiki niishi nae.
Kwa Sasa nimemuombea hifadhi kwa Dada yangu japo ya siku kadhaa na tayari Nina siku tano tu mbele za kujua hatma yake.
Nawaza nifanye Nini?? Nimtafutie nauli arudi kwao?? Nikae nae kibishi, atakula Nini? Ana mahitaji mtoto wa kike na Mimi Ni hohe have?? Naomba ushauri wakuu.
Natanguliza Shukrani.

Sasa huyo jamaa hata hizo buku mbili ni shida kwakemaisha ya dar ni kupata tu pakumlaza basi kuhusu chakula hata ukiwa na buku mbilk siku inaisha
Kwanini kijijini tu?Shukrani Mkuu, Lakini kabla ya uwepo wake kaka nimesambaza San CV mpaka nazikuta kwenye vifungashio vya vitumbua,
Ingekua kijijini ningetumia Mafunzo ya JKT kuanzisha kilimo Cha mboga mboga
Siatakula chakula Cha kwenu huku ukipambania upate kaz,shida Nini?unacomplicate maisha mwnyw,mi sikushaur aondoke,ww mtaftie hata lak mbili afanye biashara ndogo ndogo ziwasaidie ukiwa unatafta kazKuhusu vitu vya ndani tayari ninavyo, Kitanda, Godoro, Sofa na vingine vidogo vidogo, Ishu Ni kwamba tu Sina mchongo wa uhakika wa kunifanya Ni survive na mtoto wa mtu