Wadau kuna dada humu mie nimetokea kumpenda sana. Si upendo wa agape bali ni ule wa kimapenzi kati ya mwanamme na mwanammke.
Kulitaja jina lake naogopa lakini linaanzia na D. Nimechanganyikiwa mdau mwenzenu. Naogopa kupigwa kibuti. Nifanyeje mwenzenu?

Dena Amsi watuwazima hawaulizi mwaganyuki kukukaingia mwenyewe bandani unaenda kuulizia kwa mjumbe!!!D hakuna mwingine jf kuna preta,bht,nyamayao,fl1 nawengine siunaona hakuna D!Sema usikike mkuu ha unaogopa nini???
Mmmm the Farmer upoooo?// Namsikiliza ila hasomeki sana
Dena Amsi watuwazima hawaulizi mwaganyuki kukukaingia mwenyewe bandani unaenda kuulizia kwa mjumbe!!!D hakuna mwingine jf kuna preta,bht,nyamayao,fl1 nawengine siunaona hakuna D!
BE akirudi, atanza na bacha halafu jasiri
Halafu Elia nawe acha upambe bwana nini lakini mbona hivyo unataka wenzio wauwawe??
Hawata uwana ila ni nitafaidi napenda boxing hasa la watu wasio na mazoezi ha ha ha ..
Mie nitaanza na wewe sasa
Mi najua ngumi za kuangushana tu, unaubavu?
Kuangushana wapi ukumbini au kitandani wewe acha hizo bwana aaahhh
Bana eeh liwalo na liwe mi ntasema lililo moyoni mwangu. Ninayempenda ni bi. Dena Amsi. Kila nimwonapo hapa moyo wangu hudunda.
Dena weee sijui ni nini tu. Labda ni hizo embe dodo...labda ni hiyo miguu ya chupa ya bia...huenda ni hizo nywele nyororo kama hariri....lakini hayo macho ndo mashallaaah....yananimaliza nguvu miye.
Dena ooh Dena....kwa kweli nimekupenda. Uzima wangu uko mikononi mwako.
Kuangushana wapi ukumbini au kitandani wewe acha hizo bwana aaahhh
Bacha, BE, na TF washindwe kwa jina la infii. Si washindwe tu ni walegee kabisa. Kwa Dena mie nshafika siambiwi wala siskii.
Ooh Dena aaah jamani
Uwiiiiiiii Ote Mayiiiiiiiiii Mburaaaaaaaa mie nimekwisha sasa namsubiri BE, TF na Bacha waje waseme mie naogopa sasa. Jasiri we kweli Jasiri