Bzimana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 554
- 161
Kaka pole sana.Kama umejitahd kwa muda mref bla mafanikio bas uyo dada hakupendi.nakushauri upotezee kama alikua anakutest ukmpotezea ataktafta yeye.ila ukiona kimya basi akupend na hakuhtaj.mapenzi hayalazimishwi kakangu,tulia utampata ataekupenda kwa dhat.
ushauli wako umenigusa na nitauntendea kazi, kwani hata mm nauhusika.. "Nampenda hanipendi"