Nampenda Ila sijui pa kuanzia

Nampenda Ila sijui pa kuanzia

naomba kujua ya fuatayo ili tukushauri vizuri
1. wewe una umri gani
2. Una level gani ya Elimu
3. Yeye anasoma chuo ngazi gani (Diploma/Degree?)
3. Unamuhitaji awe girl friend au unamuhitaji awe mke baadae mkikubaliana
Umri 19
2.Form 3 dropout
3.diploma
4.mke
 
Umri 19
2.Form 3 dropout
3.diploma
4.mke
1. Kwa wale waliobahatika kusoma Elimu ya Biologia vizuri watakubaliana na mimi kuwa Mwanamme anakuwa brain matured from the age of 22 hivyo kwa umri wa miaka 19 kwa mwanamme ni mtoto wa Secondary (kama form 5 hivi) hivyo; Acha kusumbua mtoto wa watu
2. Umesema wewe ni form 3 dropout sasa hiyo diploma umeendaje na cheti cha darasa la saba?
 
Mwambie ukweli tu Mkuu ya nini kuficha vitu moyoni .
 
Back
Top Bottom