Nampenda ila hanitaki hata kunisikia

Nampenda ila hanitaki hata kunisikia

Mlewee ariff

Hakuna tabia naichukia kama ya kunywa mahsusi kwa ajili ya flani. .... yaani mtu anataka kumsema mtu basi anamnywea pombe ndo aende kumsema.
Nachukia hiyo tabia na huyo mtu huwa namdharau maana naona hajiamini hadi any we pombe. After all yote atakayoongea wala siyasikilizi na kesho yake namwambia jana ulikunywa ukawa unaimba nyimbo za remi ongala na nusura ujikojolee na kujitapikia.
Ukiwa unataka kuongea na mtu come you as you sober and sound sio kuvaa miwani ya pombe.
 
Hivi kwani wasichana wameisha?achana naye na elekeza akili na nguvu kazi yako ktk kutafuta pesa,atakutafuta mwwnyewe.
 
Hebu tupia picha yake hapo tumuone kama kweli ni mzuri maana umexema unampenda mpaka unataka kuwa chizi..
 
kosa lako unamuambia ukweli ndo maana anakukataa dawa ya mwanamke we mdanganye tu
 
Tumia uongo nwingi ili akuelewe kwanza, make ukweli wako hautaki unamfanya hakuone mshamba
 
Hakuna tabia naichukia kama ya kunywa mahsusi kwa ajili ya flani. .... yaani mtu anataka kumsema mtu basi anamnywea pombe ndo aende kumsema.
Nachukia hiyo tabia na huyo mtu huwa namdharau maana naona hajiamini hadi any we pombe. After all yote atakayoongea wala siyasikilizi na kesho yake namwambia jana ulikunywa ukawa unaimba nyimbo za remi ongala na nusura ujikojolee na kujitapikia.
Ukiwa unataka kuongea na mtu come you as you sober and sound sio kuvaa miwani ya pombe.
Mbona kama unanichana hiv au
 
Kuna Dada nampenda ,nimemwambia seriously hanielewi,hanitaki na haonyeshi kuelekea!! Amekua anadate na vijivulana visharobaro vimekua vikimchezea na kumuacha anaumia,Ila bado nikimfuata mi Niko real hanitaki!

Na kiukweli niko serious nataka nimfanye my future wife!!Ila bado bila bila.
Ivi nyie wanawake MNA nini??

Sometimes nawaza sijui nimuendee kwa mganga !! Maana nampenda had nahisi naweza kua chizi akiendelea kunizngua!! Yaan dunia naona kila kitu kibaya!!

Msaada tafadhar kama kuna kitu naweza Fanya maana naweza lipuka!!
Au tushare experience
Acha Ujinga. Hebu nieleweshe kabla hujaanza kumpenda maisha yako yalikuwaje?

Kupenda usipopendwa ni biashara ya HASARA. Acha Ujinga. Wanawake wapo wengi sana. Usipokuwa makini utafanya maamuzi yakijinga halafu kuna siku utanilaumu ama utaacha simanzi kwa Familia yako.

ACHA UJINGA.
 
ukionana nae we kabla ya maneno mengi unafungua wallet. unampa pesa kiasi kisichopungua 50000. fanya hivo angalau mala nne. kila unapoonana nae. afu utaona mwenyew atalegeza tu.
 
Nakushauri muendee kwa babu wa loliondo lazima umpate
 
Una umri gani? Ni dhahiri una umri mkubwa kiasi kwa huyo binti ambae kuna dalili yuko kwenye teens au late teens ambapo bado hajielewi vyema huku wewe ukijiona unatakiwa kuanzisha familia.
Kwa kifupi ni kuwa wewe na huyo mwanamke hamwendani,tafuta anaekuhitaji na anaevutiwa na wewe na sio huyo. Kama anapenda masharobaro,hiyo ni choice yake.
 
Mapenzi hayalazimishwi. . Achana nae wewe sio type yake

Afu huyo mdada uliyenaye, muachie huru husimpotezee muda
 
Mapenzi yako hivyo wewe shangaa tafuta wa kufanana na wewe Mungu alikuumbia wako...!
 
Achana na madada wanaopenda masharobaro. Ni ugonjwa wao achana kabisa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom