Hela IPO ipo mkuu ye mwenyewe anajuaTafuta goto wewee. Tumia uchawi wa kizungu. Kata mpunga kama Kyela.
-Kaveli-
Uku hamna wakubwa basi nilijua Facebook ndo wapo watotoPeleke Fesibuku au Instagram hii mada,huko utapata msaada kutoka kwa watoto wenzako,acha kuishushia hadhi JF
Pesa IPO mkuu
Anasema siyo type yakeRAHA UNAMPA YEYE ALAFU ANAKUKATAA HUYO ATAKUWA DUME
Ivi inawezekana hayo mambo yakawepo syo?Pole ndugu yangu , inaonekana una pepo la kukataliwa, nenda kwa mtume na nabii akuombee...
Nimejaribu ,ninae lakini uyo naona kaa nampotezea muda maana mi nampenda Huyo ambae hanitakiTafuta mwanamke atakaye kuelewa huyo hata akikukubalia ata kutesa sana.
hahahahahahahHama Chadema kwanza
Mara nyingine najitahid kujifariji hivo lakin bado nkimuona nahisi kuchanganyikiwaMshukuru Mungu mkuu kakuepusha na hilo janga
Hela IPO ipo mkuu ye mwenyewe anajua
Hapa ndio kwenye shida!!!Anasema siyo type yake
vumilia tu ndugu...acha vijana wamburute kwanza,wapige mashine weee wafumue marinda weee af wewe unakuja unaoa kabisa.vumilia tu mkuuKuna Dada nampenda ,nimemwambia seriously hanielewi,hanitaki na haonyeshi kuelekea!! Amekua anadate na vijivulana visharobaro vimekua vikimchezea na kumuacha anaumia,Ila bado nikimfuata mi Niko real hanitaki!
Na kiukweli niko serious nataka nimfanye my future wife!!Ila bado bila bila.
Ivi nyie wanawake MNA nini??
Sometimes nawaza sijui nimuendee kwa mganga !! Maana nampenda had nahisi naweza kua chizi akiendelea kunizngua!! Yaan dunia naona kila kitu kibaya!!
Msaada tafadhar kama kuna kitu naweza Fanya maana naweza lipuka!!
Au tushare experience
Kwahiyo wewe umemwona huyo mmoja tu??? Kwani mitaani kwenu hamna wanawake wengine???...iweje mwanaume ukagande ako kamoja tu kwani huyo ni EVA???..move to another adventure men...ohoo ukiendelea hivyo ujue taasisi ya moyo ya J.K pale Muhimbili inakuita.Kuna Dada nampenda ,nimemwambia seriously hanielewi,hanitaki na haonyeshi kuelekea!! Amekua anadate na vijivulana visharobaro vimekua vikimchezea na kumuacha anaumia,Ila bado nikimfuata mi Niko real hanitaki!
Na kiukweli niko serious nataka nimfanye my future wife!!Ila bado bila bila.
Ivi nyie wanawake MNA nini??
Sometimes nawaza sijui nimuendee kwa mganga !! Maana nampenda had nahisi naweza kua chizi akiendelea kunizngua!! Yaan dunia naona kila kitu kibaya!!
Msaada tafadhar kama kuna kitu naweza Fanya maana naweza lipuka!!
Au tushare experience
Hahahaaa mkuu umeua bendi unapewa used na mahari M5 juu...kweli ujinga ni malighafi adimu sana.vumilia tu ndugu...acha vijana wamburute kwanza,wapige mashine weee wafumue marinda weee af wewe unakuja unaoa kabisa.vumilia tu mkuu
Kuna Dada nampenda ,nimemwambia seriously hanielewi,hanitaki na haonyeshi kuelekea!! Amekua anadate na vijivulana visharobaro vimekua vikimchezea na kumuacha anaumia,Ila bado nikimfuata mi Niko real hanitaki!