MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,658
- 42,697
Uko sahihi 100%.Kama unampenda ,nenda kwao fanya taratibu zote , uchukue mke wako huyo , kinyume na hapo ni upwiru unakusumbua tu.
Uko sahihi 100%.Kama unampenda ,nenda kwao fanya taratibu zote , uchukue mke wako huyo , kinyume na hapo ni upwiru unakusumbua tu.
Niko KIJIJINI Na Sina Kitu An Hata Ya Kula Sina Hapa Nilipoo Nikirudi Mjinishida iliyosababisha uhtaji 5000 ni nini?
Mwambieni janja uhalisia bn! We utaendaje kwa wazazi kabla hawajachumbiana?Fuata taratibu kawaone wazazi wake , kumpenda mtu Sio jambo la kuishia kugegedana tu huko vichakani