Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,703
- 19,589
- Thread starter
- #41
kaeni mbali na watu msiowajua mtandaoni. Ukituma tu kwenye hiyo namba umekwisha. Kwishaaaa kabisa KERATO MOMBAA0792435230 Elikana Vodacom
Nitashkru Sana Ndg Angu
kaeni mbali na watu msiowajua mtandaoni. Ukituma tu kwenye hiyo namba umekwisha. Kwishaaaa kabisa KERATO MOMBAA0792435230 Elikana Vodacom
Nitashkru Sana Ndg Angu
Niko Na Shida Na Unanikandamiza Ndg Angu Kwelikaeni mbali na watu msiowajua mtandaoni. Ukituma tu kwenye hiyo namba umekwisha. Kwishaaaa kabisa KERATO MOMBAA
Kamsemeee kwa babakeWakuu kuna binti mtoto wa alfu mbili nimemuelewa sana, nimempenda na nimemwambia mara kadhaa adhma yangu ya kumuoa, hana simu, yeye huwa namsubiria akija kanisani ndipo nionane nae
Siku za mwanzo alikuwa vema tu tunaonana, namkiss na nampa hela ya sadaka, lakini now anasema anabanwa sana na kazi, hawezi kuja.
Kuna siku nimekutana nae mahala tukaongea akaniambia siku fulani anakuja kwa ajili ya ku do, nikamwambia mbona unakuwa hautimizi ahadi zako au hunipendi? Akasema nakupenda na siku hiyo nakuja, hakutokea na mpaka sasa sijaonana nae.
Nifanyaje? Nampenda
Akadai malaika wa zamu😂Ukimuona mwambie akupe hela zako
Joined yesterday unakuwa ombaombaNATAMAN KUANDIKA KITU ILA ROHO INAUMA SANA ...NIMEOMBA MSAADA NASHANGAA NDIO NIMEONGEZEWA
Naomba Msaada Tafadhali 🙏 Nitakurejeshea Fadhila Niko Na Shida Seriously Naomba TafadhaliJoined yesterday unakuwa ombaomba
Kazaaa.
Mimi Mwanaume Miaka Angu 21 Ndg Angu Niko Na Shida Ila Nitakurejeshea ATAKAE Nisaidia.... 🙏🙏tupo tayari kukupa msaada ila jinsia yako tafadhari
Niko Manyarasitaki marejesho! Location ulipo please.
NimechekaVaa suti nzuri ,Kaa smart , nenda kanisani , halafu kama unakaujuzi kakupiga kinanda usijivunge piga
Imba nyimbo za kuabudu kwa mikogo na bashasha , uone kama haujagegeda kanisa zima
DAH 🥲 😇manyaraaa! Mwezi ujao nina mpango wa kuja huko,jiandae nitakuja nikupe msaada na moyo wako utasuudhika kipenzi usijali.
Wazee wa kuvizia vya kunyonga vya kuchinja aaaaahNimecheka
Ebu nirudi kwa huyu mleta mada kwahiyo anaamini kweli binti hana simu basi sawa amedanganywa hana simu si amnunulie tu kuliko kuviziana kanisani
Mnunulie ata kitorch cha 30 acha ubahili mkuumabinti wa vijijini bhana.
Kwa Jinsi Unavonijb Na Nimekuambia Na Shida Na 5000 Leo Ndg 🙏 NAOMBA KWA YOYOTE MWENYE ROHO YA UTU ANISAIDIE TAFADHALI 🙏unasikitika nini sasa? Unahtaji msaada ila hautaji huo msaada tukusaidie ktk angle ipi?