Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,753
- 6,610
Kama ni beki 3 mtoroshe
Vizuri upo kwenye umri sahihi wa kubadili mindset yako25 mkuu!
kwanza ifahamike mimi sio mlokole kama unavyo dai! Lakini ni hivi,huyo binti kila siku za jumapili hupita kazini kwangu na bila kumshinikiza,huniomba hela ya sadaka.Vizuri upo kwenye umri sahihi wa kubadili mindset yako
Anza kujifunza zaid somo linaitwa masculinity anza na vitabu hivi tafuta PDF
1View attachment 3525971
2View attachment 3525973
3View attachment 3525974
Ingia YouTube search mwamba anaitwa Farfromweak anza na video za zaman View attachment 3525977
Uo ulokole wako utakupoteza vibaya mnooo kwenye maisha umekua mwanaume dhaifu sana kwanzia kichwani mpaka mwili
Fanyia Kazi niliyo kuambia kunakitu utajifunza kama mwanaumekwanza ifahamike mimi sio mlokole kama unavyo dai! Lakini ni hivi,huyo binti kila siku za jumapili hupita kazini kwangu na bila kumshinikiza,huniomba hela ya sadaka.
tusipangiane cha kufanya! Kama umevisoma wewe imetosha kwa niaba.Fanyia Kazi niliyo kuambia kunakitu utajifunza kama mwanaume
Acha kubetiHabari Za Asubuh JAMANI... Nipo kwenye dharura ndogo ya leo. Kama kuna mwenye moyo wa kusaidia hata 5,000, nitashukuru sana. Mungu abariki 🙏
Kaka Angu Sibet Ila Changamoto Tyu Za Maisha Aseee Kama Hivi Leo Nimeamka TumAcha kubeti
😂😂😂tusipangiane cha kufanya! Kama umevisoma wewe imetosha kwa niaba.
💯Kama unampenda ,nenda kwako fanya taratibu zote , uchukue mke wako huyo , kinyume na hapo ni upwiru unakusumbua tu
Wanawake wengi ni watu wanao penda material things pia ni kiumbe dhaifu na chenye tamaa.Wakuu kuna binti mtoto wa alfu mbili nimemuelewa sana, nimempenda na nimemwambia mara kadhaa adhma yangu ya kumuoa, hana simu, yeye huwa namsubiria akija kanisani ndipo nionane nae
Siku za mwanzo alikuwa vema tu tunaonana, namkiss na nampa hela ya sadaka, lakini now anasema anabanwa sana na kazi, hawezi kuja.
Kuna siku nimekutana nae mahala tukaongea akaniambia siku fulani anakuja kwa ajili ya ku do, nikamwambia mbona unakuwa hautimizi ahadi zako au hunipendi? Akasema nakupenda na siku hiyo nakuja, hakutokea na mpaka sasa sijaonana nae.
Nifanyaje? Nampenda
Weka nambaHabari Za Asubuh JAMANI... Nipo kwenye dharura ndogo ya leo. Kama kuna mwenye moyo wa kusaidia hata 5,000, nitashukuru sana. Mungu abariki
0792435230 Elikana VodacomWeka namba
Tafuta shamba ulime mkuu. Msimu ndo huuWakuu kuna binti mtoto wa alfu mbili nimemuelewa sana, nimempenda na nimemwambia mara kadhaa adhma yangu ya kumuoa, hana simu, yeye huwa namsubiria akija kanisani ndipo nionane nae
Siku za mwanzo alikuwa vema tu tunaonana, namkiss na nampa hela ya sadaka, lakini now anasema anabanwa sana na kazi, hawezi kuja.
Kuna siku nimekutana nae mahala tukaongea akaniambia siku fulani anakuja kwa ajili ya ku do, nikamwambia mbona unakuwa hautimizi ahadi zako au hunipendi? Akasema nakupenda na siku hiyo nakuja, hakutokea na mpaka sasa sijaonana nae.
Nifanyaje? Nampenda
Mbona wengine tunajuana natuna andika tu ,😅Kinachowabeba watu humu ni kutokujuana hata Kwa sura ndo maana mtu anapata nguvu ya kuja kuandika vitu kama ivi , 😳
Kuna sehem umeandika ni kabint ka elf mbili akat na yeye Yuko na 25 years 😂😂😂😂
Mnaandika utoto wa namna hiyo 👆Mbona wengine tunajuana natuna andika tu ,😅
Kaka..Mbona wengine tunajuana natuna andika tu ,😅
Leo tunalewa wap bwashee 😅Kaka..
Kumeanza kuchangamka☺️😊
unaweza ukawa unashauri kabisa kwamba fanya hivi fanya hivi ili ukipate kipochi manyoya cha binti huyo kumbe anayezungumziwa ni binti yako na anayemzungumzia ni mzee jirani yako. Jf imesaidia wengi sana.Kinachowabeba watu humu ni kutokujuana hata Kwa sura ndo maana mtu anapata nguvu ya kuja kuandika vitu kama ivi ,
Kuna sehem umeandika ni kabint ka elf mbili akat na yeye Yuko na 25 years