Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,732
- 13,766
Wakuu kuna binti mtoto wa alfu mbili nimemuelewa sana, nimempenda na nimemwambia mara kadhaa adhma yangu ya kumuoa, hana simu, yeye huwa namsubiria akija kanisani ndipo nionane nae
Siku za mwanzo alikuwa vema tu tunaonana, namkiss na nampa hela ya sadaka, lakini now anasema anabanwa sana na kazi, hawezi kuja.
Kuna siku nimekutana nae mahala tukaongea akaniambia siku fulani anakuja kwa ajili ya ku do, nikamwambia mbona unakuwa hautimizi ahadi zako au hunipendi? Akasema nakupenda na siku hiyo nakuja, hakutokea na mpaka sasa sijaonana nae.
Nifanyaje? Nampenda