Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,383
HahahaAsante Mungu sina hayo mapenzi ya kifala.
HahahaAsante Mungu sina hayo mapenzi ya kifala.
Hapana mkuu umekosea sanaKikubwa hakikisha unakua na first aid yako nyumban yenye kila kitu..dawa za vidonda, sprit,dawa za kupunguza maumivu n.k
Usimwache mchumba wako[emoji41]
Mwanamke mwenye gubu ni hatari sana...anaweza kumfanya mwanaume akawa mtu ambae hata hakutarajia kuwaHapana mkuu umekosea sana
Huyu anaonekana ana mdomo sana
Na tiba yake mme kila anapoingia nyumbani anaweka maji mdomoni bila kuyameza ili asiongee kitu
Ukichaa unaita mapenzi?Habari za asubuhi wakuu.
Hi imenisikitisha Sana. Nisiongee mengi.
" Mchumba wangu ananipiga mara kwa mara,Lakini bado nampenda,Na tuko mbioni kufunga ndoa,Nifanyeje?"View attachment 1104345
Kipigo cha mbwa koko, hapo hamna mapenzi bali ni vitaHabari za asubuhi wakuu.
Hi imenisikitisha Sana. Nisiongee mengi.
" Mchumba wangu ananipiga mara kwa mara,Lakini bado nampenda,Na tuko mbioni kufunga ndoa,Nifanyeje?"View attachment 1104345
Huo ushauri wako ni wa kiuaji.Sasa wote naona mnamshauri ampige chini mwamba....mimi bora niwe kinyume tu
[emoji23][emoji23]Hahaha
Wengine wana maneno machafu sana kiasi unajiuliza huyu ni binadamu au jiniMwanamke mwenye gubu ni hatari sana...anaweza kumfanya mwanaume akawa mtu ambae hata hakutarajia kuwa
Danga lina hela shoga bora kulia kwenye vogueIt is better to have a failed engagement..... than be taken back to your parents in a coffin.
Have you no pride? Don't you value yourself? Do you know what your parents went through from the time you were born until you attained adulthood ?
Acha uboya wewe.
Yaani ningekuwa akili yako imejaa tope hivi singepoteza muda wangu kukujibuDanga lina hela shoga bora kulia kwenye vogue
Hahhhahhhahhaa (the last sentence had me[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38])It is better to have a failed engagement..... than be taken back to your parents in a coffin.
Have you no pride? Don't you value yourself? Do you know what your parents went through from the time you were born until you attained adulthood ?
Acha uboya wewe.