Usipate taabu dunia ni kijiji siku hizi hebu Google upate address yake na upeleke application yako, usisahau kutuletea marejesho
Hivi mkuu siku JF ikikosekana hewani si utapatwa na "JF arosto"Aseeh
Ndio kwa kiasi chake..ila sio muda woteHivi mkuu siku JF ikikosekana hewani si utapatwa na "JF arosto"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi mkuu siku JF ikikosekana hewani si utapatwa na "JF arosto"
majukumu maadam
hata mimi namshangaa mbona huyo mdada mzuri sana tu?Huyo dada lakini mzuri sema tu hajiamini,ana tabasamu zuri sana na uso wenye furaha. Wanaume hawatabiriki tizama sana utofauti mara nyingi wa mke na hawara si tu wa maumbile bali hata tabia.
Beauty is in the eye of the beholder na hayo ya huyo kaka ni dunia tu inatujengea tupende watu wa hivi ndio wazuri ila mioyo ni kitu kingine na tungeruhusiwa bila kuwa judged kuolewa na tunayempenda kwa dhati bila kujali sijui elimu,kabila na upupu mwingine dunia ingekuwa kitu cha tofauti
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi mkuu siku JF ikikosekana hewani si utapatwa na "JF arosto"
Aseeh
Adipose tissues mkuu.Kilichotuna hapo kwenye chupi ni mkusanyiko wa tumbo au.??