Nampenda huyu kaka

Nenda kwa kalumanzila watamvuta zern distance acha uzembe na kulia lia wakat wa sayanc na technolygy.
 
Its up to you Dada..,

Kukaa kimya na kuwaza what could have been wakati its too late yeye amesha - move on

Au kufunguka na kwa bahati mbaya feeling zake kwako zikawa tofauti (ukapoteza hata urafiki wa sasa sababu ya embarrassment na awkwardness)

Ila uzuri ni kwamba kujua mtu anakupenda / unampenda sio mpaka akwambie (actions speaks louder than words).., endelea kuwa nae karibu na kumtendea matendo ya kumuonyesha kwamba unampenda na yeye kama anakupenda utaona viashiria na mambo yataflow with time.., endelea kumuita, kumuomba company ya kukusindikiza sehemu tofauti, muite kwenye dinner, n.k. (baada ya muda everything will fall in its place.., atajua unampenda bila kumtamkia)
 
kwa vile nijuavyo wanaume wengi, ungekuta huyo jamaa anakumaindi ungekuta ameshakutokea...the fact kwamba mnaonana lakini hajafanya chochote ujue he aint interested...
 
The issue nikumfata na kufunguka kilichopo moyoni mwako.but 1st kuwa kalibu nae in any means
 
Ukimwambia/mtongoza matokeo yanaweza kuwa:

1-Akakukubali kisha akakuacha baada ya kulamba asali sababu anaweza kukuona kicheche/mrahisi/una kasoro.
2.Akakushangaa na kukukataa na kukuepuka kabisa anaweza hata kuhisi una gonjwa unataka kusambaza
3.Akakukubali na mkapendana na mkadumu au hata kuoana(Chance ya hapa sidhan kama ni kubwa).

Mi nakushauri usimwambie,wanawake hawatongozi hutongozwa ila wewe ni mtu mzima sisi tunakushauri tu wewe ndo muamuzi wa lipi la kufanya.
Kila la kheri bibie.
 
hii yako kali,ndio ukute hujui kutengeneza kama mie zinatoka kama kaukau,lol...na urafiki unakufa lol

hii ni mbinu ya wanawake wajanja
hata kama hujui kupika
unaweza hata kununua au kumuita mtu akupikie
lakini unajifanya umepika wewe ili akusifie
na hapo ndo mwanzo wa yoote
 
Jamani ni muda umepita ndangu nilipopenda mwanzoni now yapata taklibani 3yrs sijawahi hisi kupenda tena,but now nahisi kumpenda mkaka kiasi nikimuona nasikia raha,sitamani haondoke,natamani aniambie chochote nimfanyie,natamani kumuanza naogopa pengine anahisia zozote juu yangu,Naomba mnisaidie namna ya kumpata huyu jamaa au haweze kunitamkia anipenda. Nampenda sana kiasi nikilala lazima kwanza nimuweze ndio napata usingizi please wana JF nisaidieni niondokane na hili tatizo.

unasubiri nini? mwambie tu juu ya hisia yako kwake but uwe uko kawaida tu, yaani usiende mbali like kumtaka mngonoke. mwambie usimfiche chochote na hapo kama ni muungwana yaani siyo mlugaluga atakueleza anavyojiskia. wakati unapresent usiwe na matamanio ya kimwili kwani atakuhisi kicheche bure.be a lady very polite and quite an outstanding woman
 
Okya wadada/mama hatuna the same luxury men have.... Naamini na najua roho yako yataka sana umwambie kua umempenda. Kama utakua umempenda kwa kumtamani kua ukutane nae kimwili then kila mtu ashike zake unaweza jitahidi umwambie yalojaa katika moyo wako. Ni wakaka/baba wachache ambao wapo understanding na ataendelea kukuheshimu hata kama mkiwa katika mahusiano iwapo wewe ndio utamtongoza.

Hata hivo Okya jitahidi dear, weka viashiria kua unampenda and you have deep feelings for him. Amini nakuambia kama yupo interested lazima tu atakutongoza, but kama hana interest you will end up making a fool of yourself OR utaishia kumtongoza atakukubali kwa malengo na mawazo kua pa kupozea. Which to me naona kama maumivi yatakua makubwa kuliko ukimkosa sasa. Hata hivo, I believe ushaamua ni nini unataka kufanya ila unakusanya mawazo. All the best katik hilo Okya.
 
...katika Bold..nimekuelewa vizuri sana.. AshaDii....
 
Last edited by a moderator:
Du nakumbuka nishawahi kununuliwa vitafunwa nikajua pesa ya ofisi, Aliporudi chuoni nikadaiwa bili, nikawaka,, nyie vipi hela ya vitafunwa imeisha. Kuja kuulizia nilinunuliwaga na keshachumbiwa ati, ilikuwa kama six month hivi nawaza.
 
Jamani ni muda umepita ndangu nilipopenda mwanzoni now yapata taklibani 3yrs sijawahi hisi kupenda tena,but now nahisi kumpenda mkaka kiasi nikimuona nasikia raha,sitamani haondoke,natamani aniambie chochote nimfanyie,natamani kumuanza naogopa pengine anahisia zozote juu yangu,Naomba mnisaidie namna ya kumpata huyu jamaa au haweze kunitamkia anipenda. Nampenda sana kiasi nikilala lazima kwanza nimuweze ndio napata usingizi please wana JF nisaidieni niondokane na hili tatizo.

Si umwambie tu, wewe unampenda halafu unataka yeye akutamkie? kwani ukipenda ni sharti upendwe? Fikiri!
 
Utaenjoy sana kama naye atakutokea na kukupenda.... Tena kama wewe unavyompenda.. Ni raha sana!
 
Anzisha ukaribu hata wa hi, but not as friend. Eye contacts sometimes does the magic au msifie akiwa ametoka bomba.

Nasisitiza usiweke ukaka na dada kama kianzio utaharibu the whole idea.

nahisi ushawakamata wengi kwa hii style yako
 
muulize kama anaenda chapati
halafu mpikie umpelekee

Miluzi mingi umchanganya mbwa! Mwishowe, tutamshauri huyu mdada kuwa, amuulize yule mkaka kama anapendelea kunywa 'Jack Daniel's '.
 
...jipitishe pitishe tu kila umuonapo na kumsalimia kila wakati kwa uchangamfu wa hali ja juu hautapita muda mrefu kabla ujumbe rasmi unaokusudia kuingia akilini mwake. Kama "hana mtu" LOL! anaweza kuchakarika kivyake vyake na hatimaye ukamtia tunduni vinginevyo ujue labda ana mtu wake, ila usithubutu kumtokea na uso wa dagaa uso usokuwa na haya kama yule mdada Mkenya aliyemwambia Eiyer akamnanihii bila hata simile LOL!

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-ku-aliniambia-huku-ananiangalia-machoni.html

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom