- Thread starter
- #21
Huyu alikuwa mke wa Yahya Mohamed mtangazaji wa Star ambaye sasa yuko Azam TV,amezaa nae watoto 2 lakini waliachana kwa tabia zake za kutojiheshimu
dah,,kumbe braza yahaya alikua anapumzika pale dah..respect zake
Huyu alikuwa mke wa Yahya Mohamed mtangazaji wa Star ambaye sasa yuko Azam TV,amezaa nae watoto 2 lakini waliachana kwa tabia zake za kutojiheshimu
hahaa Matola bana....., si hadi awe active member ndo ataiona hiyo
Asante mkuu...wanikatisha tamaa lakin