Nampenda FaizaFoxy

Faiza,

Kubali tu kuwa maneno yale hayakuwa maneno yenye upendo,mimi sina shida na propaganda...Ila ya kwamba na wewe una upendo si propaganda?

So dont i have the right ot refuse the propaganda?

Wewe umefundishwa na nani kuwa kusema kina mama wajawazito wapigwe mabomu ili wazae watoto fyatu ni propaganda hiyo?

Chuo cha magamba?Lol!
 

Kwanza hiyo kauli unaipinduwa naomba ilete japo link hapa, ili uone unavyojaribu kunitia maneno yako kinywani mwangu, halafu la pili upendo unaofundishwa wewe ni wa kuchukia? Kama mimi sikupendi kwani na wewe ni lazima unichukie? Mbona unakuwa mgumu sana wa kuelewa. Ile ya mabomu ya machozi inakuwa ni propaganda na wewe unalijuwa sana hilo, mimi naujuwa uchungu wa kuzaa na wakulea, huwezi kunifundisha hilo. Na nnakuhakikishia sijakosea, huwa sikisii.
 
Sina haja ya kukuletea linki na ulisha admitt kwenye bandiko lako liliopita...Unajuwa ulichokisema.

Sasa unatapatapa tu,nuttin,tukirudi kwenye hoja kuu hapa niliuliza ni mapenzi gani siajibiwa!

Kiswahili kigumu kumbe?

Umependwa kwa hoja zako?

Maana mimi ni hiyo avatar...Na sometime michango yako isiyo na propaganda...Huyu yeye anasema "anakupenda" Na kiswahili kilivyo kigumu,ukimwuliza utampenda vipi mtu usiyemjuwa hana jibu.
 

Pendo lawasikitisha, linawa wakata maini.
 
Pendo lawasikitisha, linawa wakata maini.
Hamna kitu kama hiyo,sipendi kivuli.

Kuhusu hoja zako,sijui alichokupendea huyo,ameshindwa kujibu,so maybe anakutamani.

Which aint really ma problem.
 

Kubali kataa! She is UNIQUE
 
Nakupenda pia faiza. Unajua kwanini? Kwasababu hata ikitokea wa2 wote wanakusakama wewe tu huvunjiki moyo lzm utasimama kidete mpaka kieleweke.Nilivosikia umepigwa ban nilitamani kufa mwenzio ashukuriwe Mola umerudi tena
 
Hamna kitu kama hiyo,sipendi kivuli.

Kuhusu hoja zako,sijui alichokupendea huyo,ameshindwa kujibu,so maybe anakutamani.

Which aint really ma problem.

Na wewe ndio hupendi, unaonesha una kawivu ka asili, watu kama wewe wana asili ya kichawi. Mara sijui kakupenda nini, mara kapenda avatar, mara kakutamani. Unani babuwee?

Hasira za nini wee bwana?
Wewe unawako nyumbani, nami nina wangu nyumbani,
Chuki ya nini kati yangu, mimi na wewe?

Sina makosa, wee bwana.

Unanchekesha!
 
Na mie nimejifunza kienglish hapa,ahsante mwalimu. Nalog off
 
Mimi narudia kusema kuwa nakupenda kwa kuwa una macho mazuri na Kiswahili chako ni kizuri sana ila punguza UDINI Extreme is very dangerous, hayo maporojo ya utakatifu wa Nyerere weka kando, wewe ni mzuri sana bila mambo ya udini...................Ila nakupenda na najifunza mengi sana toka kwako MAMAπŸ˜›hoto:
 

Hivi udini unaupimaje? mtu anaetaka kupewa utakatifu ni mdini au sio mdini?

Ntautetea Uislaam usiku na mchana na kama mimi ni "extreme" kwa kuitetea dini yangu basi nafurahi sana kwa hilo na linanizidisha hamasa. Na wewe kinakukera nini haswa mtu kuwa Mdini?
 
I mis some point here, wewe unaipenda Avatar yake au Username yake? nashindwa kabisa kuelewa hii kitu, labda tungekuwa facebook angalau ningeweza kukuelewa, hapa kuna ID zinatumiwa kama taasisi ziko oparated na zaidi ya watu 10.
Nampenda yeye kama yeye.

Ebu fafanua kijana... umejiandaandaaje?
πŸ˜›oa πŸ˜›oa πŸ˜›oa πŸ˜›oa πŸ˜›oa

una mashetani
Labda umenitumia!

Mavazi ya kike, sura dume??? umejiandaaandaaje??? Cameroon style au???
Nimejiandaa zaidi ya checklist inavyo sama.

Hehe hongera kwa kufunguka,
Naogopa ule usemi wa Zubaa zubaa :spy:

Ila Faiza Foxy mpaka nikupende labda nipige Tusker crate...
Nguvu ya mvinyo!

Mi nampenda anavyoandika kiswahili, na ana macho mazuri kwa mujibu wa Avata yake. Ila simpendi kwa sababu ya UDINI uliomjaa toka kichwani mpaka miguuni. BTW: NI MAMA NA MWALIMU MZURI KWETU SISI.............. Long live FF
We sema tu, kama una mvizia vizia nijue kuna rivalry

minal faidhina bi dada,mimi nampenda sana FAIZA FOXY,ila nogopa kumwambia kuwa nampenda atanipelekesha ile mbaya,ila Faiza Foxy umelog in katika moyo wangu kwa ujasiri wako wa kubishana na hata watu 1000,ubarikiwe sana bi dada.Nalog off
Hapa naona dalili za vita mbeleni "taarifa za kiinterijensia"

Umevutiwa naye kimapenzi ama kihoja?

Hivi utampenda vipi mtu usiyemjuwa?
Unataka kuniambia kumpenda mtu mpaka mcheze nae kombolela Sikiliza wimbo huu "I knew i loved u before i met u" wa Savage Garden... labda utakufungua kdg

Hawa ndio kutwa wanavunja mandoa ya watu.... umempendea nini yule nk nk. Mtu akipenda mpehongera zake tunapenda vitu tofauti.. sasa mimi nikuambie nilichompendea? k' vyote
 
Faiza I love uuuuuu..... Kumbe wengine wankuchukia kwa sababu ya kuutetea uislam? Loh, hasbiallah
 
FaizaFoxy hiyo picha yako nimeisave kama screen saver ya simu yangu, kila siku nakubusugi we hujui tu, na hizo lipsi mwanana yahaaaah
 
FaizaFoxy hiyo picha yako nimeisave kama screen saver ya simu yangu, kila siku nakubusugi we hujui tu, na hizo lipsi mwanana yahaaaah

Endelea tu kunipenda, Binaadam ni kupendana. Hiyo simu yako itakuwa inanuka mate vibaya sana, pole.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…