Nampenda FaizaFoxy

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
3,425
Reaction score
568
Wanasema maumivu ya kichwa huanza polepole, Nilikuwa simpendi huyu mwanamke, lakini sasa bila kumuona nakosa raha kabisa… nahisi namuogopa au nampendea sana.. lakini kiukweli nafurahia uwepo wake.. Ninge m-pm lakini najua kuna watu kama mimi walisha wahi kuwachukia watu then wakaja kuwa ni wapendwa wao sana,
 
Mwisho wake wa kumpenda ni nini sasa? Fafanua kidogo hapo.
 
Hata yeye FAIZA FOXY kasema ananipenda sana, usiku halali ananiota mimi. Akifungua kitabu chake chenye maandashi ya Kiarabu, anaona kuanzia sura ya kwanza hadi ya mwisho jina langu tu

Aaaa taratibu kaka
 
Hata yeye FAIZA FOXY kasema ananipenda sana, usiku halali ananiota mimi. Akifungua kitabu chake chenye maandashi ya Kiarabu, anaona kuanzia sura ya kwanza hadi ya mwisho jina langu tu
Hahaha! Bujibuji we kiboko, unamvunja moyo Elia au?...lol
 
No matter what you lean globally, it's how you apply it locally that counts.

Kila la heri Elia!😛oa
 
Picco - Kikongwe - YouTube
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…