Nampenda binamu yangu sana hasa kimapenzi?

Joined
Nov 5, 2014
Posts
43
Reaction score
5
Ni takribani miaka 10 baada ya kutoonana na mtoto wa shangazi my cousin wa kike, ghafla napewa namba yake na kuanza mawasliano na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa naked.

Ofcourse ni mzuri sana wana JF ila nashindwa kuhusiana nae kimapenzi japo ananishawishi tufanye hivyo, nifanye nini kwa hali kama hii?
 
Ni takriba miaka 10 baada ya kutoonana na mtoto wa shangazi my cousin wa kike,gafla napewa namba yake na kuanza mawasliano na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa naked,ofcourse ni mzuri sana wana JF ila nashndwa kuhusiana nae kimapenzi japo ananishawishi tufanye hivyo,nifanye nini kwa hali kama hii?

Dada binamu nyama ya hamu.
 
upuuzi mtupu... Nenda kwambie baba akupe ushauri.
 
Ni takriba miaka 10 baada ya kutoonana na mtoto wa shangazi my cousin wa kike,gafla napewa namba yake na kuanza mawasliano na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa naked,ofcourse ni mzuri sana wana JF ila nashndwa kuhusiana nae kimapenzi japo ananishawishi tufanye hivyo,nifanye nini kwa hali kama hii?
Umesema ni mtoto wa shangazi sijui dini gani lakini kama Islam unaweza kumuoa sasa baada ya kuonja onja bora umuoe kama dini ina ruhusu,la sivyo basi tafuta wengine huyo nimdowako...........mlinde kwa macho yako yote......
 
Ni takriba miaka 10 baada ya kutoonana na mtoto wa shangazi my cousin wa kike,gafla napewa namba yake na kuanza mawasliano na kunitumia picha zake jinsi alivyo kuwa na hata zingine akiwa naked,ofcourse ni mzuri sana wana JF ila nashndwa kuhusiana nae kimapenzi japo ananishawishi tufanye hivyo,nifanye nini kwa hali kama hii?

Kwahiyo unataka watu wakushauri Zinaa?
 
Back
Top Bottom