Namna ya kuweka salary history- msaada

Namna ya kuweka salary history- msaada

Stv Mkn

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
328
Reaction score
275
Wadau

Naomba mnisaidie mwenye kujua namna ya kuweka salary history yako kwenye application za kazi ikiwa umeambiwa ni lazima Uweke salary history.

Je, sahihi ni kuijumlisha kwenye Cv au iwe na karatasi yake inayojitegemea?

Msaada please!
 
wadau

naomba mnisaidie mwenye kujua namna ya kuweka salary history yako kwenye application za kazi ikiwa umeambiwa ni lazima uweke salary history.

Je, sahihi ni kuijumlisha kwenye cv au iwe na karatasi yake inayojitegemea?

Msaada please!
maana yake unacholipwa
 
hapana unaiweka kwenye cover letter yako kama umeambiwa utume cover letter kama hamna cover letter tuma kwenye karatasi yake pembeni tu usijumlishe kwenye cv
 
Back
Top Bottom