namna ya kuunganisha bird w5000

namna ya kuunganisha bird w5000

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
wadau wa sekta hii naombeni msaada wa kuunganisha sm yangu aina ya bird w5000 kwenye internet. wakati nainunua nimeikuta ikiwa na opera mini lkn kila napojaribu kufungua kwa kutumia ile wap symbol inakataa nifanyeje?.
 
Back
Top Bottom