Uchaguzi 2020 Namna ya kutafuta kura 3m zilizopelea 2015

Walienda kwa Lowasa si kwa sababu walikuwa na shida bali walikuwa ni washabiki wake toka zamani na ni wana CCM, kwa hiyo huko chadema hawakuwa na ndugu tofauti na Lowasa.
Sawa, sasa maoni yako ni kwamba nusu kura zile mil 6 zote zinarudi CCM?

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli CCM walijitaidi Sana kuhimizana kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura,upinzani ulilega,kiasi ambacho wengi hawana kadi,ata tusiokua na vyama walipita kuhimiza,Apo ndo upinzani ulikosea
 
Kama ikiwa hivyo basi siku hizi kumi vijana mia wakiingia mtaani kila Halmashauri, mapema sana TL anachukua.

Na msg ile ile simple Uhuru, Haki na Maendeleo.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli ccm walijitaidi Sana kuhimizana kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura,upinzani ulilega,kiasi ambacho wengi hawana kadi,ata tusiokua na vyama walipita kuhimiza,Apo ndo upinzani uulikosea

Kama wapinzani hawajajiandikisha, iweje idadi ya wapigakura iwe 29m+ sawa na nusu ya watanzania wote? Yaani kila watanzania wawili mmoja amejiandikisha! Ama ukubali Idadi ni ya kupika, au kila mtu kujiandikisha. na iwapo idadi ni ya kupika, hata matokeo yatakuwa ni ya kupika.
 
Mwaka 2015 waliondikishwa walikuwa 23.2millioni.

Kuna ongezeko la wapiga kura mil 6 mwaka huu.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 

According to Pole Pole CCM wana wapiga kura waliojiandikisha millioni 16 ambao tayari wanawapa ushindi wa 75%. Je, Chadema wana wapiga kura wangapi?
 
Yeye polepole ndio atawapigia kura hao mil 16?



Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Hizo ni stats mkuu, kuangalia jinsi ambavyo wamejiandaa kwenye hiki kinyang'anyiro. Kuna members wengine wamejiandikisha lakini siku ya kura wanaweza kuwa na udhuru nk. Vile vile kuna wasio na vyama na wao wana mapenzi kwa wanaowapenda nk. Kama unavyoona hapa chini wengine wanakwenda kujinadi chijui huyu Balozi atapiga kura? Yetu macho!

 
Hii nayo imekuwaje tena tunakaa pamoja na Mabeberu??



Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Lowasa aliondoka na kula zake milioni tatu akawaachia milioni moja tu, kwa hiyo mkijitahidi na za zito mtafikisha milioni tatu.
Zimeongezeka maana wiki iliyopita mliimba wimbo wa Lissu kupata kura 200k.
 
Mwaka 2015 waliondikishwa walikuwa 23.2millioni.

Kuna ongezeko la wapiga kura mil 6 mwaka huu.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app

Nchi hii ina watu 59m+, ukigawa hapo 29m+ ni nusu yake, kama sio tume imepika idadi ya wapiga kura, toka lini idadi ya watu wenye miaka 18+ iwe sawa na walioko chini ya miaka hiyo? Hapo ni wazi tume ya uchaguzi imejiandaa kupika matokeo ya kura, kwa maneno marahisi tume ya uchaguzi itakuwa ndio sababu ya nchi hii kuingia kwenye machafuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…