mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,732
- 1,610
- Thread starter
- #21
Sawa, sasa maoni yako ni kwamba nusu kura zile mil 6 zote zinarudi CCM?Walienda kwa Lowasa si kwa sababu walikuwa na shida bali walikuwa ni washabiki wake toka zamani na ni wana CCM, kwa hiyo huko chadema hawakuwa na ndugu tofauti na Lowasa.
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app