Namna ya kupiga magoli mengi

Namna ya kupiga magoli mengi

Aaa kumbe! Inahitaji ukishapiga ma3 kipindi cha kwanza, unaenda dukani kwa Mangi hata lisaa limoja, ndo unarudi na mwendokasi. Hii mbinu iko mwake. Nitamkomesha yaani we achatuu!
Hahaha mkuu ukipiga ukaona Kama umechoka ukisimama hivi na kurelax au kutembea tembea mwili unahiweka sawa unakuwa Kama unaanza game you know hata unapopiga bao ukaamka kwenda kunawa mwili hujiweka sawa pia japo ikitake kamuda zaidi ndio huwa fresh me kambinu kwangu hako after goli la Pili au tatu inategemea na gash anatakaje maana wale wengine huwataki upumzike... Unatumia mbinu ya kuzuia goli lisitoke....
 
Hivi, kwani mapenzi ni vita??
Mnakuwaga na premature ejaculation ndio maana wenzi wenu mpaka muwatie mara nyingi ndio wanaridhika.

Inatakiwa uweze kuchelewesha ejaculation mpaka mwanamke anapata mshindo mara tatu wewe ndio unapata ya kwanza.
 
kwanza mi ninavyojua bao la kwanza na la pili unatakiwa uunganishe yaani two in one bila kuchomoa muzina litata yako
 
Vijana ndo maana mnaachwa...mmekariri dhana ya bao nyingi eti ndo ushababi..
Kitu cha kuzingatia hasa kwa sisi wanaume ni kuhakikisha hupigi bao mpaka mwenza wako apige bao tatu au zaidi...unaweza ukapanda kifuani ukaanza shughuli kwa kuunganisha bao la.kwanza na la pili ili kujihakikishia kuwa lazima apige hzo bao..
Pia kuna styles ambazo automatically ukimuweka mwanamke atakojoa Mara nyingi zaidi wakat ww utakuwa free husikii chochote...unasugua mpaka umsikie akisema "KOJOA BASI NA WW"..
NB:usijilazimishe kukojoa bao nne wakat uwezo wako ni mbili au moja,chamsingi ni kuboresha zilizo ndani ya uwezo wako....Wanaume hatufanani daima...
Jikadirie.
 
Back
Top Bottom