Wanajamvi ninaomba msaada wa jinsi ya kupata spam messages zilizofutika katika email yangu.
Nilifanya application under NACTE na password pamoja na username Vilitumwa ktk email yangu Kama spam msg.
Nilikuja kugundua kuwa siwezi kuiona hiyo message kwani zilikuwa deleted automatically.
Ninahitaji msaada jinsi ya kupata hiyo message ili niendelee na application.