Namna ya kupaa kisiasa awamu ya 5

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Kwa wanasiasa wanaotaka kuendelea kuwa na vyeo walivyonavyo au kuongezwa madaraka basi lazima waisome game na kufanya haya!

*Fanya majukumu yako kwa nguvu(Hakikisha unapata back up ya media mara moja moja kupata kiki)Kiki ikizidi sana utashtukiwa!

*Hakikisha penye uchafu unapaka rangi,usihangaike kuondoa uchafu kwanza kabla ya kupiga rangi!!Hata kama ni mchana,na mkuu anataka iwe ni usiku,itabidi useme ni usiku tu(Tume ya mererani ilijiongeza na kumpa majibu yale ambayo angependa kuyasikia,badala ya kusema uzalishaji umeshuka wao wakamwambia kuna magendo hivyo wizi unafanyika)

*Hakikisha unatengeneza bifu na wapinzani,the more bifu linavyokua the more your chance ya kusurvive au kupanda daraja inaongezeka!Kama wewe ni NEC,wanyime form au fungal ofisi kila wakileta form,kama ni askari basi Fanya kama Mambosasa anavyofanya issue ya Akwilina NK!Kwa wakuu wa mikoa na wilaya waige kwa Gambo na si kwa Makonda!
NB:Makonda ni special one kwahiyo usijidanganye kuiga yake,utatupwa nje asubuhi na mapema!

*Kuwa ngao kwa mishale inayorushwa kwa Mkuu,mfano mzuri ni yule mbunge aliyeukwaa unaibu waziri simply tu kasimama kidete kuitetea serikali ilipokwida pesa za korosho!

*Hakikisha unapeleka "maduhuli", hata taasisi zisizofanya biashara kama askari usalama barabarani,Hakikisha mkuu wa taasis unapiga faini za kutosha na kuingiza fedha ili uwasilishe kwa mkuu!Inapendwa pesa na si taasisi!

*Tamka " watapata tabu sana" wanaompinga mh JPM

Hebu mwanasiasa Fanya haya uone,"kutumbuliwa" utakuwa msamiati kwako!
 
Hudhuria motivational speeches za akina Humprey Konokono kila mwezi.
Duuu,
 
Haaaaahaaaaaa. Hongera waziri kivuli. Balaaaaaaaaaa.
Hahahaaaa,wakijichanganya wakanitoa kwenye ukivuli nakunipa hata ukuu wa wilaya,ndani ya muda mfupi nitakuwa waziri mkuu!
Nimebakiza madini kadhaa kama siri yangu katika hii limbwata ya kumteka Jiwe!
 
Kwa wanasiasa wanaotaka kuendelea kuwa na vyeo walivyonavyo au kuongezwa madaraka basi lazima waisome game na kufanya haya!

*Fanya majukumu yako kwa nguvu(Hakikisha unapata back up ya media mara moja moja kupata kiki)Kiki ikizidi sana utashtukiwa!

*Hakikisha penye uchafu unapaka rangi,usihangaike kuondoa uchafu kwanza kabla ya kupiga rangi!!Hata kama ni mchana,na mkuu anataka iwe ni usiku,itabidi useme ni usiku tu(Tume ya mererani ilijiongeza na kumpa majibu yale ambayo angependa kuyasikia,badala ya kusema uzalishaji umeshuka wao wakamwambia kuna magendo hivyo wizi unafanyika)

*Hakikisha unatengeneza bifu na wapinzani,the more bifu linavyokua the more your chance ya kusurvive au kupanda daraja inaongezeka!Kama wewe ni NEC,wanyime form au fungal ofisi kila wakileta form,kama ni askari basi Fanya kama Mambosasa anavyofanya issue ya Akwilina NK!Kwa wakuu wa mikoa na wilaya waige kwa Gambo na si kwa Makonda!
NB:Makonda ni special one kwahiyo usijidanganye kuiga yake,utatupwa nje asubuhi na mapema!

*Kuwa ngao kwa mishale inayorushwa kwa Mkuu,mfano mzuri ni yule mbunge aliyeukwaa unaibu waziri simply tu kasimama kidete kuitetea serikali ilipokwida pesa za korosho!

*Hakikisha unapeleka "maduhuli", hata taasisi zisizofanya biashara kama askari usalama barabarani,Hakikisha mkuu wa taasis unapiga faini za kutosha na kuingiza fedha ili uwasilishe kwa mkuu!Inapendwa pesa na si taasisi!

*Tamka " watapata tabu sana" wanaompinga mh JPM

Hebu mwanasiasa Fanya haya uone,"kutumbuliwa" utakuwa msamiati kwako!

Tunashukuru kwa taarifa/hoja....ila ukitaka upate nafasi ya uongozi ndani ya CHADEMA mtu ufanye nini???
 
Back
Top Bottom