Namna ya kuondoa harufu mbaya mdomoni kwa kutumia baking soda - Tofauti

Tofauty

Member
Sep 12, 2016
25
16
Ni kwamba nina imani kwamba watu wengi wanaifaham Baking soda vizuri na nimekuta huku huku JF wakielezea matumizi ya baking Soda inavyosatumika kama vile kusafishia masinki ya vyoo, na pia kuondolea harufu kwenye friji, kwenye nyama na hata nguo mpya

Lakini cha zaidi ambacho mimi ninataka kuwahabarisha ni jinsi ambavyo baking soda inaweza kuondoa harufu mbaya mdomoni, maana katika jambo linalowasumbua watu ni hilo hapo na unakosa amani kabisa.

Mimi naona tu niwaambie kwamba baking soda inatumika kutoa harufu mbaya mdomoni na kuna njia tatu za kuitumia ili uondoe harufu mdomoni

1. Ni kwamba unatakiwa utumie baking soda na kwa kuchanganya na maji (unaweza tumia maji ya baridi au ya moto ila ya moto ni mazuri zaidi)

2. Ni kuitumia kwa kuiweka kwenye mswaki na kuswaki nayo kama vile dawa ya meno

3. kuchanganya na maji ya malimao na kuswaki.
 
Back
Top Bottom